Kuwa single mateso

Kuwa single mateso

Huko kwenye mahusiano kugumu sana sometimes unaona bora kuwa single kwa maana ya nafsi,yaani hauruhusu kupendana na mtu,lakini kimwili unakuwa sio single,vitendea kazi vinatumika.

Kinachofanya single kuwa kitu adimu ni kwamba,wale watu tunaowapenda na kuwaamini ndio wanakuwa mwiba mchungu,wanakufanya uone maisha si kitu tena.

Ila mapenzi matamu kipindi cha good days,yakibadilika huwa machungu kama shubiri.

So.. mi naona kuwa na mwenza au kutokuwa nae inategemea fungu lako lilipo.unaweza kuwa mtu wa furaha au huzuni.

Kuwa na mwenza ni jambo zuri sana kwenye maisha,tatizo ni huyo mwenza mwenyewe.
 
Wewe hauko single bali uko lonely, being single is not as being lonely, but as a man, you should not be single forever, at some point, you have to find a beautiful wife and settle down and having kids and making life together.

During your 20s is okey to be single, and channel your energy to create your name in the society in all facets of life as much as you can
Dah ahsante sana kwa ushauri
 
Kweli kabisa tunakuwa single si kwa kupenda
 
Mimi hua nalala kama mti ulioanguka njiani. No goodnight bave, Naamka kama gaidi no good morning babe😅
Kua singo si lelemama, sura yangu inanifelisha
Dah 😂😂😂😂😂😂
 
Wewe hauko single bali uko lonely, being single is not as being lonely, but as a man, you should not be single forever, at some point, you have to find a beautiful wife and settle down and having kids and making life together.

During your 20s is okey to be single, and channel your energy to create your name in the society in all facets of life as much as you can
Kabisaaaa, yani huyu yuko lonely, kuwa single ni raha tuu kama uko na maisha yako mazuri
 
Back
Top Bottom