Kuwaambia wengine move on ni rahisi sasa ngoja yakushenyete sasa

Sema mimi nilikuwaga mbabe aisee hakuna mtu anageniahika ziwa bila kutaka!😎
Aah wapi acha uongo ubabe uutoe wapi tena nyinyi mnaojifanya wababe ndio mnakuaga wepesi km karatasi kukubari kwamba gusa uone gusa nikuonyeshe haya umeguswa tayari sema sasa unataka kusemaje kumbe unataka kimoyomoyo uguswe tena maana ile uliyoguswa mwanzo umeona km umepapaswa unasikia utamu?
 
Shule ya msingi uguswe ili ugundue nini kama sio uchangudoa wa utotoni!
 
Kuwaambia wengine move on ni rahisi sasa ngoja yakushenyete sasa 😀😀😀💔🙌

Call it love.
Ku move on ni kugumu kama hauna mishe za kufanya. Ila kama upo busy na maisha yako, you wont think it twice. Itakusumbua siku moja moja when you are idle and when you try to reflect what she meant kwako ila ni kitu chepesi sana. Point ni asikucheleweshe na wewe usimcheleweshe.
 
Kama kweli vile 😹😹
 
Back
Top Bottom