H r n
JF-Expert Member
- Oct 3, 2019
- 1,100
- 2,079
- Thread starter
- #161
Ndio mimi au ndio wewe? Kwani wewe umeona km mimi?
Mdomo mali yake wacha abwatukeAah wapi acha uongo ubabe uutoe wapi tena nyinyi mnaojifanya wababe ndio mnakuaga wepesi km karatasi kukubari kwamba gusa uone gusa nikuonyeshe haya umeguswa tayari sema sasa unataka kusemaje kumbe unataka kimoyomoyo uguswe tena maana ile uliyoguswa mwanzo umeona km umepapaswa unasikia utamu?