AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Aah wapi acha uongo ubabe uutoe wapi tena nyinyi mnaojifanya wababe ndio mnakuaga wepesi km karatasi kukubari kwamba gusa uone gusa nikuonyeshe haya umeguswa tayari sema sasa unataka kusemaje kumbe unataka kimoyomoyo uguswe tena maana ile uliyoguswa mwanzo umeona km umepapaswa unasikia utamu?Sema mimi nilikuwaga mbabe aisee hakuna mtu anageniahika ziwa bila kutaka!π
Ndio mimi au ndio wewe? Kwani wewe umeona km mimi?Mnafiki kiwango cha lami
Sijawahi kuw ana nyege za utotoni! Nimesema tuKuna muda ulikuwa unataka kumbe
Shule ya msingi uguswe ili ugundue nini kama sio uchangudoa wa utotoni!Aah wapi acha uongo ubabe uutoe wapi tena nyinyi mnaojifanya wababe ndio mnakuaga wepesi km karatasi kukubari kwamba gusa uone gusa nikuonyeshe haya umeguswa tayari sema sasa unataka kusemaje kumbe unataka kimoyomoyo uguswe tena maana ile uliyoguswa mwanzo umeona km umepapaswa unasikia utamu?
Kwahiyo umekinai au unavuta pumz kwanzaYote ni yale yale tu mkuu
Kamwe huwezi nikuta natesekea mapenzi, kitu pekee kitanipeleka puta ni pesa tu, sio mapenziVina muda kila jambo humkuta yoyote ni muda tu mkuu
Ulisomea ujinga huko shuleni kwani nimekuuliza aliekufundisha sex na aliekufundisha kuhesabu namba yupi mwenye umuhimu kwako?Shule ya msingi uguswe ili ugundue nini kama sio uchangudoa wa utotoni!
Nilisomea uchangudoaUlisomea ujinga huko shuleni kwani nimekuuliza aliekufundisha sex na aliekufundisha kuhesabu namba yupi mwenye umuhimu kwako?
Hahaha maneno yanaumba wewe ropoka kiutani tu kitakulamba shauriyako utajikuta umekua kweli, ila hujanijibu swali languNilisomea uchangudoa
Utasibiri mpaka siku nakufa au we unakufa na hutaiona hiyo siku.Let wait and see
Mbona nimekujibu mkuuπ₯²Hahaha maneno yanaumba wewe ropoka kiutani tu kitakulamba shauriyako utajikuta umekua kweli, ila hujanijibu swali langu
Weeeee.......Probably π
Ku move on ni kugumu kama hauna mishe za kufanya. Ila kama upo busy na maisha yako, you wont think it twice. Itakusumbua siku moja moja when you are idle and when you try to reflect what she meant kwako ila ni kitu chepesi sana. Point ni asikucheleweshe na wewe usimcheleweshe.Kuwaambia wengine move on ni rahisi sasa ngoja yakushenyete sasa πππππ
Call it love.
hivi huyu mwenye mada ni ke au me ? tuone namna ya kumpa msaada, asije pata depression πNilisomea uchangudoa
Kama kweli vile πΉπΉKu move on ni kugumu kama hauna mishe za kufanya. Ila kama upo busy na maisha yako, you wont think it twice. Itakusumbua siku moja moja when you are idle and when you try to reflect what she meant kwako ila ni kitu chepesi sana. Point ni asikucheleweshe na wewe usimcheleweshe.
Namlilia wifi yako daily yaani, sidhani kama nitampata kama yeye tena kwenye haya maisha.Kama kweli vile πΉπΉ