Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Kuwafukuza uanachama ni option mojawapo ila hatarishi sana na bila shaka Chama hakitaopt kufanya hivyo
Huu ndio muda sasa wa akili kutawala hisia na mihemuko. Ni muda wa kuconsider athari za maamuzi yoyote in totality. Madhara ya kuwaacha hawa labda ni kupelekea watu wachache (Mnyika?) kuachia ngazi/kuondoka na hii inaweza kuonekana haina athari kubwa. Itakuwa ni case ya whether kutimua watu 20 au kuwaacha watu watatu or so waondoke🙂
Wakifukuzwa hawa 19/20 (Aida?) most likely watakimbilia mahakamani, Dola itawalinda na wataendelea kula posho nene mpaka June 2025.
Hapo katikati mihemuko ikipungua, wanaweza kusameheana, wakaanza kuchangia chama financially huku wakijipanga na uchaguzi wa 2025
Haya mambo hayahitaji hasira na Siasa ni Sayansi!