Kuwakamata Mwabukusi au Mdude hakutasimamisha maandamano 9/11

Mm napenda yafanyike lakini hao waandqmanaji sasaa ndo siwaoni

Wewe unapenda yafanyike ukiwa umejificha wapi? Hata shati au t-shirt nyeupe nayo mgogoro?

Polisi wadada, trafiki, manesi, wanafunzi hadi darasa 1 kayumba huko watakuwa rasmi kabisa.

Wewe je?
 
Umefikiaje hii conclusion?
ni wezi wazoefu wanafahamika hilo liko wazi, nimewahi kuathiriwa na fujo za hawa wahuni, walinirudisha nyuma mno kiuchumi, walipita na kila kitu changu nikabaki mikono mitupu,
yaan unamkataza huyu, huyu kavuta hiki, yule kaja kanyakua kile kaenda, kaja mwingine dah....
 
Polisi wanatakiwa watoe ushirikiano ili kama kutakuwa na vibaka wachache waweze kuwakamata lakini kusema Maandamano ya AMANI kuwa lengo ni kuja kukuibia kwenye Duka lako.

Hizo hofu zipo tu hata kwenye Maandamano ya YANGA vibaka hawakosi Polisi wanatakiwa watoe ulinzi.
 
Hao wote ni vibaka polisi hawezi kuacha kufanya mambo ya Msingi wawalinde vibaka hilo haliwezekani...

hawa wathibitiwe, wakabiliwe na kwaweli wawajibishwe kisawasawa kwa mujibu wa kanuni,taratibu na sheria za nchi,
wametuchelewesha sana hawa watu
 
Katiba yetu inaruhusu kwa kuyapinga Maandamano ya amani ni kwenda kinyume na Katiba yetu ya Jamhuri.
 
Watu wanatamani
 
Hivi ndugu zetu nyie huwa hamna kazi kabisa za kufanya? Mpaka mjihusishe na shughuli ambazo hazina tija wala kipato hivi ninyi huwa hamfahamu wakati ni mali na haurudi nyuma?
We nj bilionea? Sasa kama sio huobi kuwa hiyo kazi yako haina maana?
 
Wendawazimu tu na wasio na kazi ndiyo wanaweza kuandamana. Mambo ya kijinga kabisa
 
Hivi ndugu zetu nyie huwa hamna kazi kabisa za kufanya? Mpaka mjihusishe na shughuli ambazo hazina tija wala kipato hivi ninyi huwa hamfahamu wakati ni mali na haurudi nyuma?

Kuleta Katiba mpya na au kurejesha raslimali za nchi kwa watanzania ni kazi yenye tija kubwa zaidi kuluko zingine zozote labda kama wewe ni mmoja katika mapaka nyau tajwa hapo chini:

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…