Kuwakamata Mwabukusi au Mdude hakutasimamisha maandamano 9/11

Tunahitaji kujenga utamaduni wa demokrasia ambao hauumizi raia.
Kama wakiruhusiwa kuandamana, wakatoa hisia zao, tena wakapokelewa na viongozi wa serikali kutakuwa na shida gani? Maoni au hoja zao zinachukuliwa, zenye manufaa zinaingizwa kwenye mipango ya kitaifa baadaye.
Wakati mwingine rasilimali za uma hutumiwa kutunishiana misuli kwa sababu ya ujinga na kiburi cha watumishi wa uma/serikali tu.
 

Aione OCD Magonjwa Mtambuka
 
Wewe unapenda yafanyike ukiwa umejificha wapi? Hata shati au t-shirt nyeupe nayo mgogoro?

Polisi wadada, trafiki, manesi, wanafunzi hadi darasa 1 kayumba huko watakuwa rasmi kabisa.

Wewe je?
Himiza na matokeo ya maandamano
 
Mmekosa kazi za kufanya ngoja wawavunje tu
 
Hata wewe udhibitiwe na haohao polisi usiwe unaenda kunya ili tuone utakuwaje kimuonekano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…