Kuwakamata Mwabukusi au Mdude hakutasimamisha maandamano 9/11

Hayo unasema wewe Nani kakwambia watafanya?
Haramu maana yake Nini?
Kilicho halalishwa na katiba wewe unapata wapi nguvu ya kukiita haramu!?
 
Asante Kwa kutambua watanzania si waoga labda nilikuchanganya na ndugu wengine wapya waliojawa husuda na wivu ule aliouangazia mheshimiwa supika SS.
Usiwe na mazoea ya kubwatuka bwatuka hovyo bila ushahidi😁😁
 
Hayo unasema wewe Nani kakwambia watafanya?
Haramu maana yake Nini?
Kilicho halalishwa na katiba wewe unapata wapi nguvu ya kukiita haramu!?
bado msisitizo wangu kwenye jambo hili ni uleule,
polisi wasibabaike wala kusita kuchukua hatua kali sana na muhimu mno kudhibiti majambazi majambazi hawa wanaotaka kutumia maandamano haramu na kusababisha vurugu na uharibifu.....
 
Ajabu na kweli hata wale ndugu zetu wa damu katika mapambano kwa kujua au kutokujua wameungana na wanademka nao kama hili jamaa (Tlaatlaah) lilioko kwenye ignore list yangu kwa miaka lukuki sasa.
nawasifu sana Jeshi la Polisi kwa kujiandaa vyema kuwapa mau yao wana Mbeye watakaothubutu kusogeza pua zao maeneo ambayo yameainishwa.....

Nasisitiza polisi kutumia kila jitihada na mbinu za kijeshi kuwadhibiti kwa namna zote mezani majambazi wote wanaokusudia kufanya Maandamano haramu......
wapewe ile kitu wanahitaji ili kusudi akili ziwakae sawa,waache uvivu na waende mashambani kupiga kazi
 
Usiwe na mazoea ya kubwatuka bwatuka hovyo bila ushahidi😁😁

Kwamba unajua watanzania si waoga, hilo linatosha sana kujua wewe hufuzu kutafutiwa kiguo cha kijani kama hIvi:



Labda utushauri vinginevyo mkuu.

Usisahau tuko kwenye kutambuana. Mwenye kutudhania sisi ni waoga wa nini huyo?

imhotep kuna unasaba hapa?
 
kwani mpaka mtutangazie- mbona jaribio la ugaidi hamkututangazia
 
hao ni mazuzu ya
Nyie ni mazuzu yaliyochanganyikiwa, hakuna kazi ya kufanya au mnatafuta cheap popularity? Najua hata kukohoa hamtaweza hiyo tarehe. Jaribu tuone kima wakiandamana, mara paa huna guu, mara paa kiuno kinayumba, tungefurahi kuona hiyo movie bahati mbaya hamtajaribu. Km mtu unaona kabisa umekataa tamaa ya kuishi jitundike tu yaishe siyo kuja kutusumbua! mkuu wa opereseheni jeshi la polisi amewaambia andamaneni na wake zetu sebuleni kwenu huko!
 

Zuzu mbona ni wewe? Hujui umhuhimu wa katiba mpya wala rasilimali za taifa kwa watoto wa wajukuu zako.

Wewe si mbuzi koko tu?



Bure kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…