Kuwapa watoto majina ya kigeni Kizungu/Kiarabu ndio usasa au kutojitambua?

Kuwapa watoto majina ya kigeni Kizungu/Kiarabu ndio usasa au kutojitambua?

Frank na ukristo wapi na wapi?
Frank,George,Brian ni majina ya kizungu hayahusiani na dini yoyote ile hapa bongo
 
Kuna uhusiano gani kati ya kuwa Muislamu na kumpa mtoto jina la kiarabu? Au mkristo kumpa mtoto jina la Kizungu kama Frank, Aboubakar, Sameer, Chris, Dorice, Khadija
MAmbo yya asili haya.

Kwa hiyo turudi kuvaa magome ya miti ?
 
Baba anaitwa Mbaga ,mtoto anaitwa Alis hanto. jina kamili mtoto ataitwaje? Bora majina ya kibeberu tu.
 
Menyansumba,mboroo,mkunde,kobonde,ndekero,haikamenyi,ndesamburo,ndenengo,ndechilio,kuringe ,nk hatuyataki tena aisee
 
mpaka mjina ya majini watoto wanapewa halafu ukubwani wanaanza kusumbuliwa na mapepo
 
Wakinga wao majina hutegemea mama mzazi wakati anatoka hospital kwenda home alikutana na kitu gani
Kama alikutana na fuso hapo mtoto
Fuso Sanga,
Kama scania
Scania Sanga
Kama alipiga simu haikupatika
Mtoto ataitwa Notrichabo Sanga hawataki shida
 
Back
Top Bottom