Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
kuwapangia wabunge nini cha kuongea bungeni wasifie tu ni kinyume cha sheria na hakina msingi wowote ni ujinga na upumbavu.
Nimesikia wabunge wanapangiwa cha kuongeea bungeni tena huongei mpaka uwe kwenye list kama watoto wa shule ya maingi. suala hili linalivua nguo taifa zima kwa ujumla na kutuaibisha sisi wote na tusitegemee mabadiliko yoyote na wahusika tutawachukulia hatua za kisheria.