Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Kwani tuna bunge linalowakilisha wananchi ?kuwapangia wabunge nini cha kuongea bungeni wasifie tu ni kinyume cha sheria na hakina msingi wowote ni ujinga na upumbavu.
Nimesikia wabunge wanapangiwa cha kuongeea bungeni tena huongei mpaka uwe kwenye list kama watoto wa shule ya maingi. suala hili linalivua nguo taifa zima kwa ujumla na kutuaibisha sisi wote na tusitegemee mabadiliko yoyote na wahusika tutawachukulia hatua za kisheria.
Nafikiri tuseme serikali ya ******* sana, nchi haina tatizo ila hili genge la wahalifu wanaojiita serikali ndiyo tatizo.Nchi ya ******* saana hii.
Waduwanzi kadhaa kwa tamaa za mali wanaharibu kila kitu.Nafikiri tuseme serikali ya ******* sana, nchi haina tatizo ila hili genge la wahalifu wanaojiita serikali ndiyo tatizo.
******* sana hawa waduwanzi.Waduwanzi kadhaa kwa tamaa za mali wanaharibu kila kitu.
Mjinga zaidi ni yule anayekubali kupangiwa cha kuongeakuwapangia wabunge nini cha kuongea bungeni wasifie tu ni kinyume cha sheria na hakina msingi wowote ni ujinga na upumbavu.