Kuwapiga wanawake hivi sio sawa hata kama ni wezi

Kuwapiga wanawake hivi sio sawa hata kama ni wezi

Wangewapeleka kwenye mamlaka husika.Kwa kipigo hicho akifa mmoja kwa fimbo kupiga sehemu hatarishi za mwili watajua hawajui.Kweli inaumiza kuibiwa lakini hasira zinaweza kukuletea balaa kubwa zaidi.Mob Justice sio suluhisho.
 
Wezi wanakera sana..ibiwa siku moja ndo utajua uchungu wake...hapo bado hawajapigwa vizuri..inatakiwa paka wachakaee...

Na wanawake wengi saivi wanatumika sana kwa uwizi kwenye maduka ya nguoo na viatu...

Na wanajua wakikamatwa watapata huruma ya wananchi kisaa tuu ni wanawake ili wasipate kibano
 
Ni Kwa vile tu wengi hawajui sheria lakini Hawa kina mama wanaweza kutajurika Kwa kwenda mahakamani kufungua kesi ya jinai kupigwa kuumizwa na shambulio la aibu...Baadae wakishinda jinai wafungue kesi ya madai kudhalilishwa na kuvunjiwa utu mbele ya jamii fidia b7
Na mwenye duka anafungua kesi ya wizi na upotev wa mali na uharibifu..fidia b10...
 
Back
Top Bottom