Zionist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2017
- 1,866
- 2,996
Unaweza kuta hapo ameamua kufanya hivyo kwa ajili ya watoto, watoto wanalia njaa na yeye hana njia mbadala. Jamaa yake haeleweki. Watu wakiwashika wanawake dizaini hii lazima wawahoji kwa kina bila kuwaadhibu hivi. Wanaweza kupata ukweli ambao wenyewe ukawatoa machozi.Ni Kwa vile tu wengi hawajui sheria lakini Hawa kina mama wanaweza kutajurika Kwa kwenda mahakamani kufungua kesi ya jinai kupigwa kuumizwa na shambulio la aibu...Baadae wakishinda jinai wafungue kesi ya madai kudhalilishwa na kuvunjiwa utu mbele ya jamii fidia b7
BTW, wanawake msijichukulie maamuzi mnapokua na wakati mgumu, tafuteni watu wa kuwaelezea