KotelaMamba
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 701
- 1,241
Umaskini ni shida sanaHichi kitendo kimeambatana na Ukatili.
Unatisha sanaUmaskini ni shida sana
Jamaa wanawatandika balaapumbaaf kabisa wote wanaopiga wanamke
Changamoto kila kona kwa mfanyabiashara kodi vibaka
Nafikiri kuna namna nzuri ya kudeal na vibakaChangamoto kila kona kwa mfanyabiashara kodi vibaka
Wapigwe tu hao maana hakuna namnaNafikiri kuna namna nzuri ya kudeal na vibaka
pumbaaf kabisa wote wanaopiga wanamke
Issue siyo wanawake, hapo issue ni kuchukua sheria mkononi?
Na mwenye duka anafungua kesi ya wizi na upotev wa mali na uharibifu..fidia b10...Ni Kwa vile tu wengi hawajui sheria lakini Hawa kina mama wanaweza kutajurika Kwa kwenda mahakamani kufungua kesi ya jinai kupigwa kuumizwa na shambulio la aibu...Baadae wakishinda jinai wafungue kesi ya madai kudhalilishwa na kuvunjiwa utu mbele ya jamii fidia b7
Hao wenye duka,game imeshawageukia,kosa kuchukua Sheria mkononi alafu huku Wana ji record live,kidhibiti ubaoni hiyo video!!Sio wanawake tuu. Hata wanaume kupigwa hivyo si sawa
Tuschukue sheria mkononi