Kuwapiga wanawake hivi sio sawa hata kama ni wezi

Ungelea Sheria watu wanaibiwa mpaka unafilisika acha hizo subiri siku uibiwe?
 
Wanawatoto na wanatoa huduma nyingine muhimu
Sio vizuri
 
Wezi woote wanaokamaatwa huko mitaani si wangeshakuwa matajiri mkuu?
Wewe hauutaki utajiri? Si ujitolee uwakusanye uwashauri kwenda mahalamani wakadai mabioni yao halafu wewe unakula cha juu?
 
pumbaaf kabisa wote wanaopiga wanamke
Ingawa sikubaliani na kujichukulia sheria mkononi, ila kuna wanawake wezi na wanajua kabisa hawatadhibiwa kwa uanamke wao. Wangekuwa wanaume hao, wangeshakuwa maiti sasa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…