Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Moto ungewahusu..Kwanza hapo kuwaonea huruma kwa kuwa ni wanawake ingekuwa walioiba ni wa kiume hapo yangekuwa mengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moto ungewahusu..Kwanza hapo kuwaonea huruma kwa kuwa ni wanawake ingekuwa walioiba ni wa kiume hapo yangekuwa mengine
Ni balaa sana kwa kweli.Wee unadhani walivyonaswa hapo hiyo ni siku yao ya kwanza?
Ukute wana maduka yao, wanakusanya wanaenda kuuzia madukani kwao.
Hapo mwanaume hauwezi jua lolote kuhusu uozo huo.
Unaagwa vizuri tu kuwa wanaenda mjini kununua vifaa na wala haombwi hela, ni michezo yao ya kila siku wanajifanya wajasiria mali.
Angefanikiwa kuiba,aliyeibiwa ingekuaje ?
Hapo swala sio mwanamke bali ni mwizi.
Kama unaona huyo mwanamke hakupaswa kupigwa namna hiyo basi hata mwanaume asingepaswa kupigwa namna .
Wanawapiga wezi sio wanawake. Sio kila mwizi ni mwanaume.
Wanavyochapwa wazazi wetu Hawa wanatafutia watoto wao dah so sadUmeumia wanavyochapwaa au walivyomuibia mwenye duka?
Swali langu liko pale pale angefanikiwa kuiba tungesemaje ? Hizi mambo za kusema adhabu ibague kwa kuwa mwizi ni mwanamke bado siiafiki.Hii hata kwa wanyama haipo, kwa sisi tunaofuga mbwa tunaelewa namna mbwa anavyo react kama mbwa dume mwenzie akipita kwenye himaya yake ni tofauti na kwa mbwa jike. Ulishajiuliza kwa nini? ingawaje wote wamefanya kosa lile lile la kukatiza kwenye himaya yake lakini dume atashambuliwa na jike ataachwa au kupewa onyo kidogo. Hata polisi au magereza wanawake wanakuwa handled na askari wa kike.
Kama walilenga kutoa adhabu kwa nini wasiwaite wanawake wenzao, kuliko dume zima kujitia umwamba kuporomosha kipigo kwa mwanamke, huo ni upuuzi wa kiwango cha juu.
Hao jamaa wachukuliwe hatua kwa kufanya ukatili hadharani kwa wanawake ili iwe fundisho.
Wanawatafutia watoto vibaka!Wanavyochapwa wazazi wetu Hawa wanatafutia watoto wao dah so sad
Clip isiyokuwa na kalenda!
kwannini waibe ilihali wanajua wao ni wa kike? if that the case... unaleta u-beijing kwenye mambo serious?Hii hata kwa wanyama haipo, kwa sisi tunaofuga mbwa tunaelewa namna mbwa anavyo react kama mbwa dume mwenzie akipita kwenye himaya yake ni tofauti na kwa mbwa jike. Ulishajiuliza kwa nini? ingawaje wote wamefanya kosa lile lile la kukatiza kwenye himaya yake lakini dume atashambuliwa na jike ataachwa au kupewa onyo kidogo. Hata polisi au magereza wanawake wanakuwa handled na askari wa kike.
Kama walilenga kutoa adhabu kwa nini wasiwaite wanawake wenzao, kuliko dume zima kujitia umwamba kuporomosha kipigo kwa mwanamke, huo ni upuuzi wa kiwango cha juu.
Hao jamaa wachukuliwe hatua kwa kufanya ukatili hadharani kwa wanawake ili iwe fundisho.
Kila jamii inaamua kuishi inavyotaka, kama mnataka kuishi kwa huo utaratibu wa kutoa hukumu za mtaani na kupiga au kuua watu ni sawa tuu endeleeni, ila siku yakikukuta wakaamua kumalizana na wewe usilalamike na hakuna pick and chose kosa gani umefanya maana kuna watu waliwahi kusingiziwa wachawi wakauliwa kwa kuchomwa moto, wengine waliitwa mashoga wakauwawa kwa kukatwa mikono, endeleeni tuu ndio utaratibu mliochaguaNadhani waliamua kumalizana bila kuita polisi.
Kama kuna kitu WaTz wanapenda, ni kutesa wenzao! Akipata fursa ya kumpiga, basi ni kama hakuna mwisho.
Na hii si wezi tu.Kama kuna kitu WaTz wanapenda, ni kutesa wenzao! Akipata fursa ya kumpiga, basi ni kama hakuna mwisho.
Tatizo mama zetu mfano dar kwenye maduka ya nguo wanaenda kuiba nguo
WaTz tuna roho mbaya, na ndio maana hatuendelei.Na hii si wezi tu.
Maofisini wanapata furaha kubwa sana kutesa wanaofata huduma. Hawapo kutatua shida za watu, kitu cha mwanzo ni kutafuta wapi wanaweza kukwamisha. Na kamwe hutapata maelekezo sahihi ya nini unapaswa kufanya ili shida yako ipate utatuzi.