Kuwapiga wanawake hivi sio sawa hata kama ni wezi

Kuwapiga wanawake hivi sio sawa hata kama ni wezi

Halafu wanaowapiga ni wafanyakazi na wao Kila siku wanaeaibia walio waajiri. .....asiye na dhambi na awe wa kwanza kumrushia huyu jiwe..... Eee Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu nani angesimama? Lakini kwako Kuna msamaha ili wewe uogopwe

Ila wizi ni aibu Sana, sijui huyo mama atawambia Nini watoto wake.
 
Hiyo kitu kama ni mwanza huyo mmama wa nyuma namjua na huwa anakuja dukani mara nyingi ila now amepunguza,
now I know
 
Huu ni ujinga yaani hao wangeniibia mm wala nisingewapiga ningewakata mikono miwili alafu nawaacha[emoji23][emoji23][emoji3] ujinga ujinga tuu.
 
hadi ukiona mwanamke ameiba ni nadra sana kuwa ni mwizi,na angekuwa mwizi sio rahisi kukamatwa sio mzoefu na uwwzekano mkubwa kuna shida kubwa imempelekea kufanya hivyo fanya tafiti kati ya wanawake na wanaume wanaofanya wizi wengi ni wapi...aslimia kubwa ni matatizo waliyopitia na kwa wenye hekima ukimkamata mqanamke anaiba sio kumpiga bali kumweka kitako umuulize sababu za yy kufanya hivyo na kumfanyia counselling...hata huyo unawmuona hapo naamini akihojiwa huenda watu wengi wangepatwa na huruma na sio kimshambulia....nakuhakikishia ningekuwepo hapo pangechimbika hakuna mtu angefanya huo ujinga wa kumpiga huyo mama mbele ya macho yangu kiukweli imeniuma sana na waungwana wote yatupasa kukemea unyanyasaji huu na kuutweza utu wa wanawake...isitoshe kama waliona amevunja sheria wangemfikisha kwenye vyombo vya sheria simple&clear

Huyo anayepigwa amekamtwa kwa Mara ya pili anaiba. Mara ya Kwanza alikamatwa anaiba kwenye duka la jirani.
 
Ni Kwa vile tu wengi hawajui sheria lakini Hawa kina mama wanaweza kutajurika Kwa kwenda mahakamani kufungua kesi ya jinai kupigwa kuumizwa na shambulio la aibu...Baadae wakishinda jinai wafungue kesi ya madai kudhalilishwa na kuvunjiwa utu mbele ya jamii fidia b7
Sio rahisi hivyo,nguvu ya sheria bongo uamuliwa na nguvu ya pesa uliyonayo Sasa hao wezi masikini wanahela ya kuendeshaaa kesi
 
Huna tofauti na hao wezi, jamii iliyostaarabika haifanyi hayo mambo ya kupiga watu ovyo, kuna utaratibu, kamata ita polisi au mamlaka inayohusika,wangekuwa tishio kwa wengineningeelewa lakini hao wanawake sio tishio kwa maisha ya wengine, hata polisi haruhusiwi kukupiga risasi ukikimbia, tuwe wastaarabu kidogo

Nadhani waliamua kumalizana bila kuita polisi.
 
Back
Top Bottom