Kuwapiga wanawake hivi sio sawa hata kama ni wezi

Kuwapiga wanawake hivi sio sawa hata kama ni wezi

Assume umekopa mkopo wa kausha damu Tsh 1,200,000 marejesho ni ya mwendo kasi... yaani kila wiki.

Upo zako unauza samaki ile saa 9 mchana, mzigo umebaki nusu, halafu mwizi anakwapua pochi lina Tsh laki 6.3, ndo unazitegemea ukalipe mkopo, watoto wapate chakula, ulipe kodi, upate na hela ya kuwatumia wazee kijijini wapate mlo na pesa ya palizi....

Kumbuka usipolipa wale wadeni wako watauza mpk godoro.

Haya wamekuja wameuza mpk jiko la mkaa baada ya kukosa hata sumni ya kuwalipa....

Unajipanga upya unakopa laki 4 unaanza tena biashara, from no whr kibaka anapita nazo kibabe....My friend, akikamatwa kale ka-utu kanapotea...we ni kutoa kipigo tu!

Hata polisi wakija wanakaa pembeni mmalize kwanza shughuri....

Sometimes mob justice inalipa. Mtaani kwetu tuliwaadabisha kadhaa, now pako shwari like 3 yrs now, washakariri huu mtaa ukiiba ujue haurudi na moyo wako....walitunyanyasa sana...tukachoka.

Kwa case ya clip hapo juu, the best way ya kumuadhibu huyo bila kumdharirisha, kama kweli kaiba ni kutumia njia nyeusi tu, akishakula kalai lake basi hata video hairekodiki!
 
Ishu sio kupigwa wala blaah blaah,, je, ushahidi upo wa kutosha kuwa ni wezi? Kwenye Mambo kama hayo inabidi busara zitumike zaidi maana kuna kusingiziwa pia,...
Kwanini waombe msamaha kama sio kweli.
 
Njia nyeusi ni na kula karai?
Fafanua mkuu.
Assume umekopa mkopo wa kausha damu Tsh 1,200,000 marejesho ni ya mwendo kasi... yaani kila wiki.

Upo zako unauza samaki ile saa 9 mchana, mzigo umebaki nusu, halafu mwizi anakwapua pochi lina Tsh laki 6.3, ndo unazitegemea ukalipe mkopo, watoto wapate chakula, ulipe kodi, upate na hela ya kuwatumia wazee kijijini wapate mlo na pesa ya palizi....

Kumbuka usipolipa wale wadeni wako watauza mpk godoro.

Haya wamekuja wameuza mpk jiko la mkaa baada ya kukosa hata sumni ya kuwalipa....

Unajipanga upya unakopa laki 4 unaanza tena biashara, from no whr kibaka anapita nazo kibabe....My friend, akikamatwa kale ka-utu kanapotea...we ni kutoa kipigo tu!

Hata polisi wakija wanakaa pembeni mmalize kwanza shughuri....

Sometimes mob justice inalipa. Mtaani kwetu tuliwaadabisha kadhaa, now pako shwari like 3 yrs now, washakariri huu mtaa ukiiba ujue haurudi na moyo wako....walitunyanyasa sana...tukachoka.

Kwa case ya clip hapo juu, the best way ya kumuadhibu huyo bila kumdharirisha, kama kweli kaiba ni kutumia njia nyeusi tu, akishakula kalai lake basi hata video hairekodiki!
 
NI SAWA,HAKUNA MWIZI WA KIKE WALA WA KIUME WOTE KULLU WAHED,MAJIMAMA NA AKILI ZAO TIMAMU YANAAMUA KUFUNGA SAFARI NA KWENDA KUIBA....BILA UWOGA HALAFU WACHEKEWE.
Ni wezi ndio wangetakiwa kufikishwa kwenye vyombo vya dola
 
Ni wezi ndio wangetakiwa kufikishwa kwenye vyombo vya dola
Nyie mnawatetea kwa sababu ni wanawake,hiyo ya kufikishwa kwenye vyombo vya dola iwe kwa jinsia zote sio wanawake tu,ukisoma hapa wangi wanaleta huruma kisa tu ni wanawake....Mwanamke anayetakiwa kuhurumiwa na kuheshimiwa ni yule anayejiheshimu na sio sampuli ya hawa wezi.

Hao utakuta kabisa hiyo ndio kazi yao waliyo ichagua.....mbona kuna wanawake kibao mtaani wanapambana kutembeza mchicha,Dagaa,viazi,Mihogo....wanachoma chapati,vitumbua n.k kujipatia rizki ya halali.

Hao wanapenda shortcut ya maisha pia kupata pesa bila kutoka jasho,kifupi wamejawa na tamaa na sio ugumu wa maisha.

Muonekano tu unaonyesha sio kwamba wamegika kivile kama wanavyotetewa hapa.
Wanajidhalilisha na kuwadhalilisha watu wao wa karibu.
 
Unaweza kuta hapo ameamua kufanya hivyo kwa ajili ya watoto, watoto wanalia njaa na yeye hana njia mbadala. Jamaa yake haeleweki. Watu wakiwashika wanawake dizaini hii lazima wawahoji kwa kina bila kuwaadhibu hivi. Wanaweza kupata ukweli ambao wenyewe ukawatoa machozi.
BTW, wanawake msijichukulie maamuzi mnapokua na wakati mgumu, tafuteni watu wa kuwaelezea

Wote wangeamua kuiba kwaajili ya watoto tungefika wapi?
 
Wangewapeleka kwenye mamlaka husika.Kwa kipigo hicho akifa mmoja kwa fimbo kupiga sehemu hatarishi za mwili watajua hawajui.Kweli inaumiza kuibiwa lakini hasira zinaweza kukuletea balaa kubwa zaidi.Mob Justice sio suluhisho.

Hicho kipigo Cha kawaida, huwezi kufa. Labda kuumia
 
Ni Kwa vile tu wengi hawajui sheria lakini Hawa kina mama wanaweza kutajurika Kwa kwenda mahakamani kufungua kesi ya jinai kupigwa kuumizwa na shambulio la aibu...Baadae wakishinda jinai wafungue kesi ya madai kudhalilishwa na kuvunjiwa utu mbele ya jamii fidia b7

Sheria haipo hivyo unavyodhani. Ukienda mahakamani nenda na mikono misafi. Umekamatwa kwa wizi kwenye duka la mtu halafu ufungue kesi ya kuvunjiwa utu?. Labda wangemfuata nyumbani kwake na kuanza kumpiga happy angejitetea.
 
Hata mimi imenikwanza sana, mwanaume inakuwaje unampiga hivyo mwanamke............hata hapa nimebishana na wife nikamweleza ni bora hata wangetafuta wanawake wenzao ndo wawaadhibu au wawasute, naturally haijakaa vyema.

Wanawapiga wezi sio wanawake. Sio kila mwizi ni mwanaume.
 
Back
Top Bottom