Imole
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 1,438
- 4,053
Mkuu wezi sio watu wazuri hata kidogo ukiwapeleka polisi wanatolewa dhamana wanatoka then wanaendelea kuiba tena wengine wakitoka wanawatafuta waliowapeleka polisi wanaweza kukuua, dawa ya mwizi ni kipigo tu ila sisupport kuuwawaKwa hiyo kuwapiga ndio adhabu yake, hawakuwa tishio hao wangeweza kabisa kuwashika na kuita polisi, tuache kuishi kama wanyama