Kuwapiga wanawake hivi sio sawa hata kama ni wezi

Bora wangewakata mikono,kila mmoja arudi kwa baba yeyoo na one hand,kuliko kuwadhalilisha kwa kipigo ....tena mwenye mkosi ndio anapigwa sana.
 
Mwanamke mwenye tabia ya wizi ni pambo wapi na kwa nani?
hadi ukiona mwanamke ameiba ni nadra sana kuwa ni mwizi,na angekuwa mwizi sio rahisi kukamatwa sio mzoefu na uwwzekano mkubwa kuna shida kubwa imempelekea kufanya hivyo fanya tafiti kati ya wanawake na wanaume wanaofanya wizi wengi ni wapi...aslimia kubwa ni matatizo waliyopitia na kwa wenye hekima ukimkamata mqanamke anaiba sio kumpiga bali kumweka kitako umuulize sababu za yy kufanya hivyo na kumfanyia counselling...hata huyo unawmuona hapo naamini akihojiwa huenda watu wengi wangepatwa na huruma na sio kimshambulia....nakuhakikishia ningekuwepo hapo pangechimbika hakuna mtu angefanya huo ujinga wa kumpiga huyo mama mbele ya macho yangu kiukweli imeniuma sana na waungwana wote yatupasa kukemea unyanyasaji huu na kuutweza utu wa wanawake...isitoshe kama waliona amevunja sheria wangemfikisha kwenye vyombo vya sheria simple&clear
 
Masikini huyo wa nguo za kijani mzuri kweli, kwanini mtu uibe jamani? Wangetengeneza mahusiano mazuri ya biashara wawe wanapewa malikauli wanaenda kutembeza mitaani. Wenyewe wakaamua wawe wanaenda kudokoa dokoa kila siku!

Wizi ni tabia ya hovyo sana, Mwenyezi Mungu atusaidie maana na sisi tuna ndugu wengi.
 
Wangewapeleka kwenye mamlaka husika.Kwa kipigo hicho akifa mmoja kwa fimbo kupiga sehemu hatarishi za mwili watajua hawajui.Kweli inaumiza kuibiwa lakini hasira zinaweza kukuletea balaa kubwa zaidi.Mob Justice sio suluhisho.
Sikiliza ndugu yangu hata kwenye uislamu Allah ambae ni muumba mbingu na nchi kaagiza mwizi akatwe mkono,wezi ni watu wabaya sana na ili kuwatokomeza dawa yao ni moja tu kuwachoma moto tu hiyo ndio haki yao
 
hadi ukiona mwanamke ameiba ni nadra sana kuwa ni mwizi,na angekuwa mwizi sio rahisi kukamatwa sio mzoefu na uwwzekano mkubwa kuna shida kubwa imempelekea kufanya hivyo fanya tafiti kati ya wanawake na wanaume wanaofanya wizi wengi ni wapi...aslimia kubwa ni matatizo waliyopitia na kwa wenye hekima ukimkamata mqanamke anaiba sio kumpiga bali kumweka kitako umuulize sababu za yy kufanya hivyo na kumfanyia counselling...hata huyo unawmuona hapo naamini akihojiwa huenda watu wengi wangepatwa na huruma na sio kimshambulia....nakuhakikishia ningekuwepo hapo pangechimbika hakuna mtu angefanya huo ujinga wa kumpiga huyo mama mbele ya macho yangu kiukweli imeniuma sana na waungwana wote yatupasa kukemea unyanyasaji huu na kuutweza utu wa wanawake...isitoshe kama waliona amevunja sheria wangemfikisha kwenye vyombo vya sheria simple&clear
Unachimba mikwara huku umepaka lotion usoni eti pangechimbika... mwizi ni mwizi awe mwanamke au mwanaume haki yao wakikamatwa ni kuadhibiwa tu
 
sio duniani tu hata kwa Mungu kuna sheria zinaapply kwa mwanaume ila kwa mwanamke haiapply...ndio maana vitabu vinatuambia tumewaumbia wanawake kama pambo kwetu wanaume na ukweli usiopingika wanawake ni viumbe dhaifu kwa wanaume lazima tuwahandle with care(they are fragile) Always ukiona mwanaume anabull mwanamke jua hajakamilika
so ile 50/50 ina mipaka?
 
Wezi wanakera sana..ibiwa siku moja ndo utajua uchungu wake...hapo bado hawajapigwa vizuri..inatakiwa paka wachakaee...

Na wanawake wengi saivi wanatumika sana kwa uwizi kwenye maduka ya nguoo na viatu...

Na wanajua wakikamatwa watapata huruma ya wananchi kisaa tuu ni wanawake ili wasipate kibano
Mie kuna mdogo wangu hapo Kariakoo aliibiwa mzigo wa takriban 600k kwa style ya mmoja anajifanya anachagua huku ana mkinga muuzaji huku mwingine akiiba. Acha watandikwe tu
 
Ona sasa
 
Hizi lafudhi sio za kanda ya ziwa kweli!! Maana huko ndiko ukatili ulikolala.
 
hadi ukiona mwanamke ameiba ni nadra sana kuwa ni mwizi,na angekuwa mwizi sio rahisi kukamatwa sio mzoefu na uwwzekano mkubwa kuna shida kubwa imempelekea kufanya hivyo fanya tafiti kati ya wanawake na wanaume wanaofanya wizi wengi ni wapi...aslimia kubwa ni matatizo waliyopitia na kwa wenye hekima ukimkamata mqanamke anaiba sio kumpiga bali kumweka kitako umuulize sababu za yy kufanya hivyo na kumfanyia counselling...hata huyo unawmuona hapo naamini akihojiwa huenda watu wengi wangepatwa na huruma na sio kimshambulia....nakuhakikishia ningekuwepo hapo pangechimbika hakuna mtu angefanya huo ujinga wa kumpiga huyo mama mbele ya macho yangu kiukweli imeniuma sana na waungwana wote yatupasa kukemea unyanyasaji huu na kuutweza utu wa wanawake...isitoshe kama waliona amevunja sheria wangemfikisha kwenye vyombo vya sheria simple&clear
Kwani mwenye duka hana Mungu?
 
Si ajabu watoto wao wapo humu na wana comment
 
Ishu sio kupigwa wala blaah blaah,, je, ushahidi upo wa kutosha kuwa ni wezi? Kwenye Mambo kama hayo inabidi busara zitumike zaidi maana kuna kusingiziwa pia,...
 
Wezi wasikie tu,watu wana marejesho na TRA imekausha hadi nguvu za kiume halafu mwizi anajichanganya.
 
Back
Top Bottom