Nyaka-One
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 4,730
- 6,736
Mwanamke mwenye tabia ya wizi ni pambo wapi na kwa nani?sio duniani tu hata kwa Mungu kuna sheria zinaapply kwa mwanaume ila kwa mwanamke haiapply...ndio maana vitabu vinatuambia tumewaumbia wanawake kama pambo kwetu wanaume na ukweli usiopingika wanawake ni viumbe dhaifu kwa wanaume lazima tuwahandle with care(they are fragile) Always ukiona mwanaume anabull mwanamke jua hajakamilika