Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
-
- #41
Hatukuwa na SGR ya umeme kipindi unawashwa. But now π©ββ€οΈβπ¨ π©ββ€οΈβπ¨ π©ββ€οΈβπ¨ π©ββ€οΈβπ¨ π©ββ€οΈβπ¨Huo mwenge tokea ulipowashwa miongo hiyooo hadi sasa mbona tunazidi kwenda nyuma tu badala ya kusonga mbele?
Mwenge wa Uhuru siyo dini ni ishara kama ilivyo Bendera, Wimbo wa Taifa, nembo ya Taifa, Lugha ya Taifa nk.Serikali haina mfungamano wowote wa kidini, na wala haijali. Amini kwamba.
Mwenge wa uhuru ni PR stunt ya mwalimu Nyerere(yawezekana kwa ushauri wa waingereza waliokuwa ikulu kipindi kile) kwa ajili ya kulipa uzito suala la uhuru, ili kufanya watu wajali, ukizingatia kipindi hicho watanganyika wengi hawakuwa na elimu.
Ingekuwa tukio la uhuru ni kusign tu makaratasi, huenda lisingechukuliwa kwa uzito wake.
Na pia mimi naweza sema ilikuwa ni njia ya kufikisha habari kwasababu mwenge ulibebwa toka Dar mpaka kilimanjaro, wapiga picha na watangazaji redio wakiwepo.
kwenye kichwa cha uzi wako nimeona 'roho na unajimu'Mwenge wa Uhuru siyo dini ni ishara kama ilivyo Bendera, Wimbo wa Taifa, nembo ya Taifa, Lugha ya Taifa nk.
Tatizo lako exposure na ufinyu wa maarifa unakusumbua.
Kwani Roho na Unajimu ni dini?kwenye kichwa cha uzi wako nimeona 'roho na unajimu'
NimesomaUsome Biblia uache kukariri mzee.
βWaagize Waisraeli wakuletee mafuta ya zeituni safi yaliyo pondwa kwa ajili ya mwanga, ili taa ziwekwe kila wakati. Aroni na wanawe wataziweka katika Hema la Kukutaniaβ¦ kwa mbele ya Bwana.β (Kutoka 27:20-21).
Biblia haijaandikwa kwenye mstari mmoja tu. Nimekupatia mistari zaidi ya 20 kukujibu unachojaribu kupotosha waumini ewe Mpinga Kristo unaendelea kurudia mstari huo huo tu ambao hauna hata unachojaribu kupotosha.Nimesoma
Isaya 50:11
Maneno ya Yehova ni haya
"Tazama ninyi nyote mwashao moto,mjifungiao hiyo MIENGE hiyo mlioiwasha mtayapata haya kwa mkono wangu mtalala kwa huzuni....
Nadhani Tanzania tupo top 10 ya watu walalao kwa HUZUNI
Angalia sana wewe udhaniaye umesimama usije anguka......mistari yako hajitosheleziBiblia haijaandikwa kwenye mstarielezi mmoja tu. Nimekupatia mistari zaidi ya 20 kukujibu unachojaribu kupotosha waumini ewe Mpinga Kristo unaendelea kurudia mstari huo huo tu ambao hauna hata unachojaribu kupotosha.
Wewe shetani rudi nyuma.
Uko shallow sana,nasikia uvivu kubishana na weweKuna watu wasiojua dunia inaendaje wanajaribu kuleta cheap propaganda katika vitu serious. Sham on them Joannah na wenzake. Wanajaribu kuelezea vitu wasivyovijua ili kuwasilisha ajenda zao binafsi.
Huu ni upumbavu unaozidi kiwango. Kama hujui kitu tulia ujifunze kwa wenzako. Sio unakuja hapa JF na kuanza kupotosha watu.
Joannah tueleze kwenye Amri za Mungu na Amri za kanisa wapi pamekatazwa kuwasha mwenge?
Umeelewa ulivyoulizwa?Kwa jinsi ninavyojua Marekani hawana mlima mrefu kama wetu huu Kilimanjaro. Labda unaweza kunisaidia kujua kama wameshawahi kuweko huo mwenge wao Juu ya Mlima
Nimekueleza ukweli. Hata ukikataa ukweli utaendelea kudumu. Huna facts zozote bali unaandika maneno kwa kutumia emotions. Huna facts zozote Kihistoria, Kiimani wala Kijamii Unaimba nyimbo tu ambazo hazina ukweli wowote.Uko shallow sana,nasikia uvivu kubishana na wewe
Umeelewa nilichojibu? Mtu mwenye low IQ hawezi kuelewa.Umeelewa ulivyoulizwa?
Hakuna cha kuangalia. Wewe hujui. Wewe ni mjumbe wa Ibilisi unataka kupotosha watu ili wasijue kweli.Angalia sana wewe udhaniaye umesimama usije anguka......mistari yako hajitoshelezi
Umevua gagulo awali.Sasa umefurama kabisa.Umeelewa nilichojibu? Mtu mwenye low IQ hawezi kuelewa.
Watu wenye Low IQ ndio tabia zenu. Sasa hivi unaenda nje ya mada π€£ π€£ π€£ π€£ Huna uwezo wa kujadiliana na watu wenye akili kubwa kama mimi.Umevua gagulo awali.Sasa umefurama kabisa.
Duniani hakuna jipya kila kitu ni kilekile mambo ni ku recycle tuNdugu mtaalamu,je huo mwenge unaosema ni mila ba gesturi yetu una uhusiano wowote na ile "Torch of freedom ya Marekani?
Umejijazia ujuaji kichwani na jina ulilojipa ni la kishankupe.Go and rot in hell!Moisemusajiografii uwezo wako ni mdogo sana wa kuchanganua mambo makubwa. Nakusihi jifunze ustaarabu ili japo kidogo akili zako ziweze kufunguka. Uliza usichokijua na utajibiwa. Kwakuwa unajijua wewe ni Low IQ uliza kwa heshima.