Kuwasha Mwenge kunaashiria "Illumination, enlightenment, and guidance." Mwenge wa Uhuru ni muhimu sana katika taifa letu

Kuwasha Mwenge kunaashiria "Illumination, enlightenment, and guidance." Mwenge wa Uhuru ni muhimu sana katika taifa letu

Huo mwenge tokea ulipowashwa miongo hiyooo hadi sasa mbona tunazidi kwenda nyuma tu badala ya kusonga mbele?
Hatukuwa na SGR ya umeme kipindi unawashwa. But now πŸ‘©β€β€οΈβ€πŸ‘¨ πŸ‘©β€β€οΈβ€πŸ‘¨ πŸ‘©β€β€οΈβ€πŸ‘¨ πŸ‘©β€β€οΈβ€πŸ‘¨ πŸ‘©β€β€οΈβ€πŸ‘¨

1729072737985.png

1729072776024.png
 
Serikali haina mfungamano wowote wa kidini, na wala haijali. Amini kwamba.

Mwenge wa uhuru ni PR stunt ya mwalimu Nyerere(yawezekana kwa ushauri wa waingereza waliokuwa ikulu kipindi kile) kwa ajili ya kulipa uzito suala la uhuru, ili kufanya watu wajali, ukizingatia kipindi hicho watanganyika wengi hawakuwa na elimu.

Ingekuwa tukio la uhuru ni kusign tu makaratasi, huenda lisingechukuliwa kwa uzito wake.

Na pia mimi naweza sema ilikuwa ni njia ya kufikisha habari kwasababu mwenge ulibebwa toka Dar mpaka kilimanjaro, wapiga picha na watangazaji redio wakiwepo.
Mwenge wa Uhuru siyo dini ni ishara kama ilivyo Bendera, Wimbo wa Taifa, nembo ya Taifa, Lugha ya Taifa nk.
Tatizo lako exposure na ufinyu wa maarifa unakusumbua.
 
Mwenge wa Uhuru siyo dini ni ishara kama ilivyo Bendera, Wimbo wa Taifa, nembo ya Taifa, Lugha ya Taifa nk.
Tatizo lako exposure na ufinyu wa maarifa unakusumbua.
kwenye kichwa cha uzi wako nimeona 'roho na unajimu'
 
Usome Biblia uache kukariri mzee.

β€œWaagize Waisraeli wakuletee mafuta ya zeituni safi yaliyo pondwa kwa ajili ya mwanga, ili taa ziwekwe kila wakati. Aroni na wanawe wataziweka katika Hema la Kukutania… kwa mbele ya Bwana.” (Kutoka 27:20-21).
Nimesoma
Isaya 50:11
Maneno ya Yehova ni haya
"Tazama ninyi nyote mwashao moto,mjifungiao hiyo MIENGE hiyo mlioiwasha mtayapata haya kwa mkono wangu mtalala kwa huzuni....
Nadhani Tanzania tupo top 10 ya watu walalao kwa HUZUNI
 
Biblia haijaandikwa kwenye mstari mmoja tu. Nimekupatia mistari zaidi ya 20 kukujibu unachojaribu kupotosha waumini ewe Mpinga Kristo unaendelea kurudia mstari huo huo tu ambao hauna hata unachojaribu kupotosha.

Wewe shetani rudi nyuma.
 
Kuna watu wasiojua dunia inaendaje wanajaribu kuleta cheap propaganda katika vitu serious. Sham on them Joannah na wenzake. Wanajaribu kuelezea vitu wasivyovijua ili kuwasilisha ajenda zao binafsi.

Huu ni upumbavu unaozidi kiwango. Kama hujui kitu tulia ujifunze kwa wenzako. Sio unakuja hapa JF na kuanza kupotosha watu.

Joannah tueleze kwenye Amri za Mungu na Amri za kanisa wapi pamekatazwa kuwasha mwenge?
 
Biblia haijaandikwa kwenye mstarielezi mmoja tu. Nimekupatia mistari zaidi ya 20 kukujibu unachojaribu kupotosha waumini ewe Mpinga Kristo unaendelea kurudia mstari huo huo tu ambao hauna hata unachojaribu kupotosha.

Wewe shetani rudi nyuma.
Angalia sana wewe udhaniaye umesimama usije anguka......mistari yako hajitoshelezi
 
Kuna watu wasiojua dunia inaendaje wanajaribu kuleta cheap propaganda katika vitu serious. Sham on them Joannah na wenzake. Wanajaribu kuelezea vitu wasivyovijua ili kuwasilisha ajenda zao binafsi.

Huu ni upumbavu unaozidi kiwango. Kama hujui kitu tulia ujifunze kwa wenzako. Sio unakuja hapa JF na kuanza kupotosha watu.

Joannah tueleze kwenye Amri za Mungu na Amri za kanisa wapi pamekatazwa kuwasha mwenge?
Uko shallow sana,nasikia uvivu kubishana na wewe
 
Uko shallow sana,nasikia uvivu kubishana na wewe
Nimekueleza ukweli. Hata ukikataa ukweli utaendelea kudumu. Huna facts zozote bali unaandika maneno kwa kutumia emotions. Huna facts zozote Kihistoria, Kiimani wala Kijamii Unaimba nyimbo tu ambazo hazina ukweli wowote.

Jifunze kujua mambo 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Angalia sana wewe udhaniaye umesimama usije anguka......mistari yako hajitoshelezi
Hakuna cha kuangalia. Wewe hujui. Wewe ni mjumbe wa Ibilisi unataka kupotosha watu ili wasijue kweli.
 
Umevua gagulo awali.Sasa umefurama kabisa.
Watu wenye Low IQ ndio tabia zenu. Sasa hivi unaenda nje ya mada 🀣 🀣 🀣 🀣 Huna uwezo wa kujadiliana na watu wenye akili kubwa kama mimi.
 
Moisemusajiografii uwezo wako ni mdogo sana wa kuchanganua mambo makubwa. Nakusihi jifunze ustaarabu ili japo kidogo akili zako ziweze kufunguka. Uliza usichokijua na utajibiwa. Kwakuwa unajijua wewe ni Low IQ uliza kwa heshima.
 
Ndugu mtaalamu,je huo mwenge unaosema ni mila ba gesturi yetu una uhusiano wowote na ile "Torch of freedom ya Marekani?
Duniani hakuna jipya kila kitu ni kilekile mambo ni ku recycle tu
 
Kukimbiza mwenge si utamaduni wa asili wa Mtanganyika. Tumeiga, licha ya kukimbizwa miaka yote hiyo (Kwa Imani ya kwamba unaleta maendeleo na faraja) lakini bado changamoto lukuki ziko ndani ya nchi yetu. Kwa mfano:
  1. Umaskini bado mkubwa.
  2. Mauaji ya watu ni makubwa
  3. Ufisadi ndiyo balaa
  4. Ujinga unazidi kutamalaki. Mfano, kuuziwa maji ya upako(au kitambaa) Kwa Imani ya kumpatia ahueni ya maisha mnunuaji.
Zama ambazo sayansi na technology imekuwa ndiyo msingi wa maendeleo, lakini Tanzania bado watu wanauabudu mwenge (eti unaleta maendeleo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚). Lol
 
Mwenge ni Tambiko la nchi kama Ilivyo Kwa Tambiko la Saudi Arabia (Hoja)
Na lile la Israel

Tofauti na hapo mengine ni kupigana kamba,

Naungana na wewe mtoa mada ktk Hiyo paragraph yako ya kwanza
 
Back
Top Bottom