Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Mnawachukua watoto wanafunzi na kuwaandikisha kupiga kura wenye miaka 14-17 kisha mtu mzima kama Makalla anatoka hadharani kujisifu kuvuka malengo ni picha kuwa taifa linapotea njia.
Watoto wetu wanahusishwa na tabia za wizi huo mnadhani wakikua tabia hiyo wataacha?
Jee hii CCM inayofanya mambo haya ya hovyo bila aibu imezeeka kiasi cha kutotambua jema au baya? Au imechizika na kupoteza ufahamu.
Jambo hili hata Katibu mkuu wa TEC Dr. Kitine amelihoji na kuwalaumu wazi CCM kuhusu ushirikishwaji watoto katika uhalifu huo ambao hauna tofauti na matendo ya panyarodi.