Hili jambo linalohusu maadili lichukuliwe kijamii na kitaifa zaidi badala ya kichama.
Watumishi wa uma (ambao siyo wanasiasa, vikiwemo vyombo vya dola, tume ya uchaguzi, mahakama,... wanatakiwa wawajibike kikamilifu na kwa kufuata haki, sheria na uadilifu.
Wanaoharibu jamii na taifa zaidi ni watumishi wa uma na vyombo vya dola, tena baadhi tu.