Walisha poteza ufahamu ndiyo maana huwa wanaenda maporiniMnawachukua watoto wanafunzi na kuwaandikisha kupiga kura wenye miaka 14-17 kisha mtu mzima kama Makalla anatoka hadharani kujisifu kuvuka malengo ni picha kuwa taifa linapotea njia.
Watoto wetu wanahusishwa na tabia za wizi huo mnadhani wakikua tabia hiyo wataacha?
Jee hii CCM inayofanya mambo haya ya hovyo bila aibu imezeeka kiasi cha kutotambua jema au baya? Au imechizika na kupoteza ufahamu.
Jambo hili hata Katibu mkuu wa TEC Dr. Kitine amelihoji na kuwalaumu wazi CCM kuhusu ushirikishwaji watoto katika uhalifu huo ambao hauna tofauti na matendo ya panyarodi.
Hoja nzito inajibiwa na vilaza kiwepesi halafu tutarajie nchi iendeleeSawa na chadema ilivyozalisha kizazi cha vijana wenye matusi mazito, sasa hivi chama kinaishia kuchangishana kuwatoa magereza
Ukoo wa panya Babu hadi mjukuu mwizi.Walisha poteza ufahamu ndiyo maana huwa wanaenda maporini
Wote walioshiriki huo upuuzi ni wapuuzi na wapumbavu kabisaMnawachukua watoto wanafunzi na kuwaandikisha kupiga kura wenye miaka 14-17 kisha mtu mzima kama Makalla anatoka hadharani kujisifu kuvuka malengo ni picha kuwa taifa linapotea njia.
Watoto wetu wanahusishwa na tabia za wizi huo mnadhani wakikua tabia hiyo wataacha?
Jee hii CCM inayofanya mambo haya ya hovyo bila aibu imezeeka kiasi cha kutotambua jema au baya? Au imechizika na kupoteza ufahamu.
Jambo hili hata Katibu mkuu wa TEC Dr. Kitine amelihoji na kuwalaumu wazi CCM kuhusu ushirikishwaji watoto katika uhalifu huo ambao hauna tofauti na matendo ya panyarodi.
Mnyororo wa thamani kwa bafamiliaUkoo wa panya Babu hadi mjukuu mwizi.
Mnyororo wa kushusha thamani taifa na watu wake.Mnyororo wa thamani kwa bafamilia
Noted with thanks, though unworking government machineries, kwakutumia mifumo iliyo lala, ukitaka kutoboa ni kwa juhudi zako mwenyewe na siyo kwa msaada wa mifumo iliyopoMnyororo wa kushusha thamani taifa na watu wake.
CCM ni Chama Cha Mashetani.Mnawachukua watoto wanafunzi na kuwaandikisha kupiga kura wenye miaka 14-17 kisha mtu mzima kama Makalla anatoka hadharani kujisifu kuvuka malengo ni picha kuwa taifa linapotea njia.
Watoto wetu wanahusishwa na tabia za wizi huo mnadhani wakikua tabia hiyo wataacha?
Jee hii CCM inayofanya mambo haya ya hovyo bila aibu imezeeka kiasi cha kutotambua jema au baya? Au imechizika na kupoteza ufahamu.
Jambo hili hata Katibu mkuu wa TEC Dr. Kitine amelihoji na kuwalaumu wazi CCM kuhusu ushirikishwaji watoto katika uhalifu huo ambao hauna tofauti na matendo ya panyarodi.
Wako tayari kuandikisha hata wakimbiziMnawachukua watoto wanafunzi na kuwaandikisha kupiga kura wenye miaka 14-17 kisha mtu mzima kama Makalla anatoka hadharani kujisifu kuvuka malengo ni picha kuwa taifa linapotea njia.
Watoto wetu wanahusishwa na tabia za wizi huo mnadhani wakikua tabia hiyo wataacha?
Jee hii CCM inayofanya mambo haya ya hovyo bila aibu imezeeka kiasi cha kutotambua jema au baya? Au imechizika na kupoteza ufahamu.
Jambo hili hata Katibu mkuu wa TEC Dr. Kitine amelihoji na kuwalaumu wazi CCM kuhusu ushirikishwaji watoto katika uhalifu huo ambao hauna tofauti na matendo ya panyarodi.
Sasa tunaanza kufukua makaburi ya noti.Uko sawa kwa asilimia 100. Nchi inakoelekea ni kubaya sana.
Tukidhani mzunguko wa pesa utarudi wakati hizo pesa mimi sina, CCM, banaSasa tunaanza kufukua makaburi ya noti.