DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,011
- 4,705
AiseeJoto Kali na ukosefu wa maji ni janga kwa Dar es salaam kama huyu bibi akigombea 2025 na akashinda tuna miaka mitano Tena ya kutaabika
Hili tatizo linaenea kwa kasi nchini japo mamlaka za magonjwa hazijui na hazina taarifa kuwepo kwa tatizo hilo. Mwili huwasha na kutoka vipele, hivo vipele vikikauka ngozi hubanduka tabaka la juu kama nyoka ajivuaye gamba. Haijulikani ni ugonjwa gani na unasababishwa na niniSalaam wakuu.
Siku za hivi karibun nimeona na kushuhudia wakazi wengi hapa dar es salaam wametokwa na vipele na kuwashwa mwili.
Hasa watoto nimeona wengi pia wanawashwa na vipele mwili mzima.
Hivyo nauliza je huu ni ugonjwa wa kawaida au Kuna tatizo lipo.?
Nauliza na Nini Cha kufanya ikiwa utapata shida Kama hiyo.
Unajidanganya.mamlaka za magonjwa hazijui na hazina taarifa kuwepo kwa tatizo hilo.
Jotro lipo miaka yote.Sasa joto linafika mpka 34°c unategemea nini?
sasa kama mamlaka za kutangaza magonjwa zina taarifa ya kuwepo kwa vipele hivyo kwa nini wasitangaze kama wafanyavyo kwenye red eye, maana wengine tumeingiwa mfadhaiko tukidhani tayari tumeambukizwa magonjwa makubwa ya kutisha japo hatujapima tujue afya zetu. Vipele vinawasha balaa, vikipasuka hufanya ngozi kupaukaUnajidanganya.
Labda madaktari tu ndo hawajui, maana wale pia ni vipofu wanaosubiri MAAGIZO ya SEREKALE.
Lakini akina SAMIA wanajua. Muulizeni, ana taarifa zote mezani, nothing goes UNCHECKED.
Hii ni hatar Sanahili tatizo linaenea kwa kasi nchini japo mamlaka za magonjwa hazijui na hazina taarifa kuwepo kwa tatizo hilo. Mwili huwasha na kutoka vipele, hivo vipele vikikauka ngozi hubanduka tabaka la juu kama nyoka ajivuaye gamba. Haijulikani ni ugonjwa gani na unasababishwa na nini
Maji haya haya auMna uhakika maji ya bomba mnayokunywa ni salama?
Wengi wenu ni vipofu nyie, mtaanza kusema kuna VIRUS yuko angani anawabutua watoto na kuwatumbua mapele. 🤣
Angalieni maji ya bomba hayo kama hayajatiwa madawa fulani. Au chakula wanachokula.
Hakuna cha jotro wala nini. Jotro lipo miaka yote.
HahaSasa joto linafika mpka 34°c unategemea nini?
Huenda serikal inataka kutuhamisha kijanja waarabu wapewe jijiHivi huko DAR, mbona mnapata tabu sana....
Siyo sababu mi naona anga tu limechafuka....huku mbeya ndiyo wameharibika mno....wanaambia ni allergyJoto Kali na ukosefu wa maji ni janga kwa Dar es salaam kama huyu bibi akigombea 2025 na akashinda tuna miaka mitano Tena ya kutaabika kwa kuwashwa miili
Kumbe hadi huko mikoa ya baridiSiyo sababu mi naona anga tu limechafuka....huku mbeya ndiyo wameharibika mno....wanaambia ni allergy
Ukurutu balaa,ni Kama hawaogi kumbe ni mwili umeharibiwa na kujikunaKumbe hadi huko mikoa ya baridi