Kuwashwa mwili ni tatizo jipya Dar es Salaam?

Nimefikiwa mkuu niliuchukulia poa nakoma mm nawashwa mwili najikuna vibaya mno kucha hazitoshi natumia nyenzo vyingine kama still wire zile za nguo kujikuna aisee usiombe yakukute
Pole bro. Wahi Hospitali. Aisee! Hadi unatumia steel wire- hiyo ni kali.
 
Nimefikiwa mkuu niliuchukulia poa nakoma mm nawashwa mwili najikuna vibaya mno kucha hazitoshi natumia nyenzo vyingine kama still wire zile za nguo kujikuna aisee usiombe yakukute
Hùu ugonjwa ni balaa mim unanitesa sana
 
Back
Top Bottom