Kuwashwa mwili ni tatizo jipya Dar es Salaam?

Kumbe hili joto na vipele anasababisha huyu bibi??
Huyu ana uwezo wa kimungu twende tukampigie magoti aondoe joto nà vipele.
Hivi unajua matumizi Umeme na maji au unaishi na wanyama mikumi?
 
Naunga mkono hoja. Ila na mbu wa msimu huu Duh! Kama wote.
 
Bumunda jingine hili.
Civics ulipata grade gani?
 
kijana wangu wa kazi alikua na ivyo vipele juzi jana usiku nimelala naona mwili unanichoma kujipapasa vipele mwili mzima
 
Hii ilikuwa ni kazi na Benefiti ya wanaojiita wanasayansi wa Bongo ila hata kupima Content ya maji hawawezi, yaani hawawezi kutatua tatizo ama mkwamo wowote ktk jamii. Ndio mana wabongo wengi hukimbilia kwa waganga, manabii au Mitishamba. Maana tangu sayansi imetiliwa mkazo enzi za mkapa wanaojiitaa wanasayansi wapo tuu wanallmika pamoja na wananchi wa vijijini.

Tatizo.
 
Joto Kali na ukosefu wa maji ni janga kwa Dar es salaam kama huyu akigombea 2025 na akashinda tuna miaka mitano Tena ya kutaabika kwa kuwashwa miili
Sasa Ina uhusiano gan uchaguzi mkuu
 
Mmmh... Huo msemo wa jitro mademu wengi nakutana nao wanautumia. Akitamka namwangalia anavounda mdomo.... Nasema mashallah.... Mnapendea nini hilo neno? Au ndo swaga zenu masister du?
 
Nimefikiwa mkuu niliuchukulia poa nakoma mm nawashwa mwili najikuna vibaya mno kucha hazitoshi natumia nyenzo vyingine kama still wire zile za nguo kujikuna aisee usiombe yakukute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…