Kuwatetea Watanzania ni kupoteza muda

Tumemuagiza sisi, jibu hoja kama huna hoja lala mbwa wewe
 
Hawa ndo ninaowazungumzia. Eti unarisk maisha yako kutetea watu kama hawa?
 
Si mlikataa ubwabwa kuleni tozo
 
Walikutuma uwatetee?
 
WaTanzania wengi ni mbwa we achana nao
 
Watu kama wewe ndio anaowasema mleta hoja.
 
Nani kamtuma atutetee wakati sisi tumeridhishwa na utendaji kazi uliotukuka wa mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani? Atetee tumbo lake
Wapi alipokutetea, kasema kutetea watanzania kama wewe ni kupoteza muda.
 
Mi hata sikumoja hua siamini kama kuna mtu alie serikalini/mwanasiasa ambaye atayafanya maisha yangu yawe mepesi ivo ivo kwa chama chochote, Me always hua natembea na upepo, nikiona serikalini ya saivi ni watu wa dealdeal bas namimi naendesha biashara zangu kidealdeal na magendo na nikiona serikali ipo serious na mimi nakua serious vilevile sifanyi janja janja yeyote mwisho wa siku maisha yanaenda ila sisubiri mwokozi atayekuja kuniokoa ila ikitokea namshukuru mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…