mjita halisi
Member
- Dec 8, 2012
- 17
- 2
Nimekuwa nadebate na vijana wenzangu mtaani kuhusu baadhi ya taasisi ka UDOM kuzuia mabint kuvaa suruali, je inaleta tija?
Umenikumbusha skin jeans zangu nilizochaniwa juzi, roho inaniuma
Umenikumbusha skin jeans zangu nilizochaniwa juzi, roho inaniuma
Hao malekcha wana hamu ya kuona nguo zao za ndani. ngoja waone visket vyao ndo watatii akil
Sikuhizi nguo za ndani zavaliwa NJE,kwahiyo wameshazoea Hawatii Akili tena
Umenikumbusha skin jeans zangu nilizochaniwa juzi, roho inaniuma
Hahahaha poleee ukanunue madera lol
safi sana ukome
Wii kisaa cha kuchaniwa ni nini
nani aliyekuchania Lady doctor?