Kuwazuia masichana kuvaa suruali kunaleta tija?

Kuwazuia masichana kuvaa suruali kunaleta tija?

wii, mi hata sijui Arushaone alipatwa na pepo gani wakati ye mwenyewe ndio huwa ananinunuliaga, kanitolea visababu kibao havina kiuno wala shingo.

Maumivu ya kichwa huanza poolepole..!! chukua hatua.
 
Last edited by a moderator:
Waache kabisa kuwakataza hiyo makitu,ili tujionee utamu na uumbaji wa Mungu
 
Hataki upendeze?dah mimi wangu ruksa ila asitamanishe tu wengine

hahahaaa...... Hebu sikumoja mkeo apige hizo pamba halafu utoke nae mahali ila ujifanye kama haupo nae uone shughuli itakavyo ambatana na mvua, utaomba avue ahahahahaaa!
 
Ilianza kama utani ila taratibu UDOM kinaelekea kuwa chuo cha dini..
copy: Mkoroshokigoli

Hahhahaha. Ila hii nikutokua na upana wa kufikiri unamkataza mtu kuvaa jins alafu unaruhusu avae gauni ka uji akivaa unaona mpaka mistari ya chupi ina maana gani? unamkataza kuvaa jins anavaa min skirt akikaa kiti cha mbele au mchungaji au padri au lectr lazima kigugumiz kimshike hapo sio din tena. Labda wawe wanafunga khanga.
Ila watatuumiza sana kwani siku iz kila manz anapendeza kisa skin jeans
 
tunazipendaga skin jinzi coz zinaleta mahipsi
 
Kuwakataza kuvaa aina zote za suruali hata haina mantiki walau labda tule tu-skintight a.k.a soseji ndo hatufai aisee!

Dah . . I remember those days wakati tunakimbizana na dean of students kwenye makorido!
 
Isoniazid tija yoyote ni Kama kuua Mende kwa nyundo ya kilo 5. Badala ya kupambana an uzalishaji duni tunaona suruali za Hawaii mabinti Kama ndio kazi za kufuatilia.
 
Back
Top Bottom