Kuwazuia masichana kuvaa suruali kunaleta tija?

mjita halisi

Member
Joined
Dec 8, 2012
Posts
17
Reaction score
2
Nimekuwa nadebate na vijana wenzangu mtaani kuhusu baadhi ya taasisi ka UDOM kuzuia mabint kuvaa suruali, je inaleta tija?
 
kila nguo ina mahali pake ambapo inaleta tija.
 
Hao malekcha wana hamu ya kuona nguo zao za ndani. ngoja waone visket vyao ndo watatii akil
 
Si taasisi tu,hata binadamu mume anazuia binadamu mke kuvaa sarawili ati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…