eee
kunaleta tija
Si taasisi tu,hata binadamu mume anazuia binadamu mke kuvaa sarawili ati
Hataki upendeze?dah mimi wangu ruksa ila asitamanishe tu wengine
Ilianza kama utani ila taratibu UDOM kinaelekea kuwa chuo cha dini..
copy: Mkoroshokigoli
Unauliza majibu...!? hiyohiyo hatua gani..
Ilianza kama utani ila taratibu UDOM kinaelekea kuwa chuo cha dini..
copy: Mkoroshokigoli
shemeji yako.
tunazipendaga skin jinzi coz zinaleta mahipsiHahhahaha. Ila hii nikutokua na upana wa kufikiri unamkataza mtu kuvaa jins alafu unaruhusu avae gauni ka uji akivaa unaona mpaka mistari ya chupi ina maana gani? unamkataza kuvaa jins anavaa min skirt akikaa kiti cha mbele au mchungaji au padri au lectr lazima kigugumiz kimshike hapo sio din tena. Labda wawe wanafunga khanga.
Ila watatuumiza sana kwani siku iz kila manz anapendeza kisa skin jeans
hao wanakuwaga na wivu tu. anakuchania ww halafu nje anawafuata wenye skin jinz. shaulilo
haa haaa haaa Lady doctor anafahamu hilo.
hao wanakuwaga na wivu tu. anakuchania ww halafu nje anawafuata wenye skin jinz. shaulilo
Umegundua ee..h .. na kanavyopenda chini kale kajamaa..