Kuweka au Kutokuweka WhatsApp status: Kuna uhusiano na mtu kuwa smart, msomi au tajiri?

Hapa kuna mambo mawili watu wanachanganya kama unaweka status kwa ajili ya matangazo ya biashara zako safi au unaweka status yako katika tukio adimu mfano happy birthday harusi au graduation au utopolo kamfunga mnyama au man u kamfunga liva au kuburudisha au kuelimisha hapo hakuna shida hivyo kuweka status kwa ajili ya jambo la kibiashara au tukio lolote adimu na muhimu hiyo sio mbaya
Asilimia kubwa wasiokuwa na busara ulimbukeni akili finyu uelewa mdogo sifa yako kwanza kuweka status kila mara mara yuko ofisin mara yupo anakula mara kaweka kiwigi dume zima linandika kila mara habari za kuumizwa hawa ndio kwenye kundi hili ndio wana matatizo
 

[emoji23][emoji23][emoji23] nawe kwanin hutaki kumpost su umpost mara moja moja
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nawe kwanin hutaki kumpost su umpost mara moja moja
Tatiz nahic kama ni kujichoresha tu siwez me πŸ˜‚ kwanz nina no za watu wakubwa weng halaf wana heshima zao so kuanza kupost ten habar za cjui baby utoto utoto mwng nahic ni kujichoresha saaana tu
 
Tatiz nahic kama ni kujichoresha tu siwez me πŸ˜‚ kwanz nina no za watu wakubwa weng halaf wana heshima zao so kuanza kupost ten habar za cjui baby utoto utoto mwng nahic ni kujichoresha saaana tu
Mara moja moja kuna ubaya gani
 
Tatiz nahic kama ni kujichoresha tu siwez me [emoji23] kwanz nina no za watu wakubwa weng halaf wana heshima zao so kuanza kupost ten habar za cjui baby utoto utoto mwng nahic ni kujichoresha saaana tu
Hao wakubwa wenyewe wanapost ujue. Kama hutaki waone unawamute unaishi life lako
 
Mwezi mmoja au miwili iliyopita ndio nimejua status Nini, Nilikua najua ndio profile pic.

Na watsup nimeanza kuitumia tangu enzi hizo za Nokia E72(Symbian).
Aisee weweeee jamaa unafanana na Mimi kabisaa!!! Nimekuja kujua hizi status miezi 3 imepita hata disappearing message nimeijua mwezi huu wa tisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…