Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
Ambao hawaweki je! Wanakunya keki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata za dini huweki?Mi nimeanza juzijuzi tu kutangaza biashara status
Hua nahisi status ni za wanawake tu kama nnavyowaza iphone ni kwa ajili ya wanawake pia.
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Nilikua nae huko... Bora hujaniona...🤣🤣 kuna mmoja aliendaga Magoroto Forest, yule dada zile picha alipost mwezi mzima..
Childish stuff.Kuna mtu humu nina namba zake huu mwaka unaenda wa pili, ila hata siku moja sijawahi muona akiweka status ama akiview zangu.
Siku nyingine naweka naset aone yeye mwenyewe lakini zitamaliza masaa 24 sioni akiview
Watu wa hivyo wana shida gani? Ni utu uzima au ndio wako busy hawana muda na status??
Bado nawashangaaa aisee
Namba moja sio kweli DP na smartness ya mtu wapi na wapiKupitia Whatsapp utajua watu smart na Hawa wenzangu na Mimi
1. Mtu smart huwezi mkuta kaweka DP ya picha yake Whatsapp
2. Mtu smart huwezi kuta anaweka mastatus mara kwa mara na akiweka basi ujue ni jambo muhimu sana ambalo anataka kufikisha ujumbe kwa njia hiyo
3. Mtu smart hana muda wa ku view status za watu, ila hapa Kuna wa aina 2 Kuna ambao Hawa view kabisa na Kuna wale ambao wana view lakini wakiona unapost pumba au unajipost sana wanakukataa Hawa view tena
Wale wenzangu na Mimi wanaenda kinyume chake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna mmoja aliendaga Magoroto Forest, yule dada zile picha alipost mwezi mzima..
Kazingua eti hadi DP mtu smart haweki hii namkatalia mazimaMnajishaua sana machuriti pipo
Mimi na uzee wangu kwenye status unikuti ila JF mimi ni mteja haswa.Kuna kasumba naona imezidi kushamili kuwa mtu aliweka status kwenye simu ni mtu ambaye sio smart maana mwanaume au mwanamke mwenye heshima zake humkuti na mambo ayo ya status kwenye simu au kuwa online mara kwa mara au pia kuwepo kwenye magroup. Je, hili lina uhalisia wowote?
hahahahahamataruma ya reli
Kwa hiyo unaumia?Kuna mtu humu nina namba zake huu mwaka unaenda wa pili, ila hata siku moja sijawahi muona akiweka status ama akiview zangu.
Siku nyingine naweka naset aone yeye mwenyewe lakini zitamaliza masaa 24 sioni akiview
Watu wa hivyo wana shida gani? Ni utu uzima au ndio wako busy hawana muda na status??
Bado nawashangaaa aisee
Naona unaniongelea mkuu asante nilikuwa sijijui kama ni smart.Kupitia Whatsapp utajua watu smart na Hawa wenzangu na Mimi
1. Mtu smart huwezi mkuta kaweka DP ya picha yake Whatsapp
2. Mtu smart huwezi kuta anaweka mastatus mara kwa mara na akiweka basi ujue ni jambo muhimu sana ambalo anataka kufikisha ujumbe kwa njia hiyo
3. Mtu smart hana muda wa ku view status za watu, ila hapa Kuna wa aina 2 Kuna ambao Hawa view kabisa na Kuna wale ambao wana view lakini wakiona unapost pumba au unajipost sana wanakukataa Hawa view tena
Wale wenzangu na Mimi wanaenda kinyume chake
Suala la status limetupa sana obsessions zisizo za lazima. Watu wanatafuta self worth kupitia status, na ndio maana neno status kwa kiswahili maana yake ni Hadhi.Kuna kasumba naona imezidi kushamili kuwa mtu aliweka status kwenye simu ni mtu ambaye sio smart maana mwanaume au mwanamke mwenye heshima zake humkuti na mambo ayo ya status kwenye simu au kuwa online mara kwa mara au pia kuwepo kwenye magroup. Je, hili lina uhalisia wowote?