Winnie Winnie
Senior Member
- Aug 23, 2024
- 132
- 293
Habari za leo naomba ushauri kuweka kitanda katikati ya chumba au ukutani ni kipi bora
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chumba ni kikubwaZingatia ukubwa wa chumba chako mkuu
Ukiweka katikati itapendeza kama nafasi ipo ya kutosha na chumba hakina vitu vingiChumba ni kikubwa
kama chumba ni kikubwa weka kitanda katikatiChumba ni kikubwa
Wewe weka tu hata kwenye ceiling board, ni maamuzi binafsi tu.Habari za leo naomba ushauri kuweka kitanda katikati ya chumba au ukutani ni kipi bora
Weka kitanda kwanza,then dressing table/kabati kwakua ukikosea nafasi utajikuta unalala chini kitanda hakitoshiAnza kuweka kabati /dressing table..then fuatisha kitanda...hio nzuri...sana
Chumba kinaonekana fuleshiii
Kiweke karibu na ukuta. Sometimes mmeo akiwa anakupelekea moto atahitaji balance so anakanyaga ukuta ili ashindilie vizuri.
Hii ndio jf ninayoijua mimi..!🙌Kuweka ukutani kina Raha yake ukiamua kuweka pozi la kunyoosha miguu ukutani ukiwa unautafutia usingizi
Au kwenye kudinyana unamwambia wife shika ukuta huko
Kasema chumba ni kikubwa...Weka kitanda kwanza,then dressing table/kabati kwakua ukikosea nafasi utajikuta unalala chini kitanda hakitoshi
Mambo ayapendayo ephen.Hii ndio jf ninayoijua mimi..!🙌
Kinachowekwa katikati ni kitanda cha mochwari ujue ama kile cha upasuajiHabari za leo naomba ushauri kuweka kitanda katikati ya chumba au ukutani ni kipi bora
Kinachowekwa katikati ni kitanda cha mochwari ujue ama kile cha upasuajiHabari za leo naomba ushauri kuweka kitanda katikati ya chumba au ukutani ni kipi bora
Anataka aweke katikatiKinachowekwa katikati ni kitanda cha mochwari ujue ama kile cha upasuaji