Kuweka kitanda katikati ya chumba au ukutani ni kipi bora?

Kuweka kitanda katikati ya chumba au ukutani ni kipi bora?

Mimi naona ukutani kma chumba kikubwa unaweza weka katikati

Kusema kweli bila kulala upande wa ukutani sisikii Raha 😀Kitanda kikiwa kati nitateseka sana
 
Ukiwa na pesa weka Kati kati,..kama mwenzetu weka ukutani,...sisi tumewekeana mpaka zamu ya kulala upande wa ukutani.....
 
Kama ndoa bado ni changa na unahitaji watoto wengi nakushauri weka kitanda ukutani,,

Huko mke hawezi kukukimbia na ukimbana hatoki.
Wazee wetu walitumia hekma kama hyo .,,
lakini kuweka kitanda Kati kati ni rahisi mke kukuchoropoka na inapunguza hamasa ya tendo..

Matajiri _ kitanda kipo Kati kati ana mtoto 1 ndoa miaka 10.
Masikini _ kitanda kipo ukutani ana watoto 4 ndoa miaka 7.
 
Kitanda kuwekwa kati, kitanda kuwekwa kati, madharau yake ni nini!?🎶🎶🎵
 
Usiweke Kitanda kati kati kama huna nguvu za Kiroho.
 
Back
Top Bottom