Kuweka kitanda katikati ya chumba au ukutani ni kipi bora?

Kuweka kitanda katikati ya chumba au ukutani ni kipi bora?

Kama ndoa bado ni changa na unahitaji watoto wengi nakushauri weka kitanda ukutani,,

Huko mke hawezi kukukimbia na ukimbana hatoki.
Wazee wetu walitumia hekma kama hyo .,,
lakini kuweka kitanda Kati kati ni rahisi mke kukuchoropoka na inapunguza hamasa ya tendo..

Matajiri _ kitanda kipo Kati kati ana mtoto 1 ndoa miaka 10.
Masikini _ kitanda kipo ukutani ana watoto 4 ndoa miaka 7.
Kwani kitanda ndiyo kinaleta watoto na ni tajiri gani huyo ana mtoto mmoja ndoa miaka 10 acha wivu utakuwa mchawi uzeeni pia kuzaa watoto huwa ni kupenda wanandoa kama wamependa wawe na mtoto mmoja tu au wamependa watoto waachane miaka kumi,kuwa na akili hata siku moja moja ndo maana huwa tunasema elimu ni ujuzi sio kwenda shule sasa na wewe umeenda shule kufanya nini!
 
Tajiri na mali zake masikini na watoto.

Ukielewa hili huwezi kushupaza shingo kwa ubishi.
 
Kubwa jinga halafu una wivu kwa matajiri tunaongelea kitanda wewe unaongelea tajiri jitaidi uwe unakula mara tatu kila siku uache wivu
Kwahyo wewe ndy tajiri?
Mimi nimeongelea fact wewe unaleta makasiriko.

Huwezi kukuta kitanda kipo pembeni nyumba ya tajiri.
Na huwezi kukuta kitanda kipo kati kati chumbani kwa lofa.

Mimi naongea kwa fact na sio mihemko
 
Hicho kitanda kwani ni cha Matofali na Simenti?

Weka katikati au weka pembeni,kila baada ya muda unakua unabadili position ili kubadili muonekano wa chumba,

Chumba lazima kiwe kinabadilika muonekano,sio unaweka kitanda sehemu moja kwa zaidi ya miaka 5 au 10.
 
Habari za leo naomba ushauri kuweka kitanda katikati ya chumba au ukutani ni kipi bora
Wengi wanaoweka ukutani wana makorokoro yasiyo ya lazima chumba cha kulalia. Watu wa dar mnisamehe ila unakuta mtungi wa gesi, madumj, ndoo, na mengine kibao na geto moja unadhani ataweka kitanda katikati
 
Kwahyo wewe ndy tajiri?
Mimi nimeongelea fact wewe unaleta makasiriko.

Huwezi kukuta kitanda kipo pembeni nyumba ya tajiri.
Na huwezi kukuta kitanda kipo kati kati chumbani kwa lofa.

Mimi naongea kwa fact na sio mihemko
Ndiyo uweke mfano wa watoto wewe rudi facebook toka hapa
 
Kwahyo wewe ndy tajiri?
Mimi nimeongelea fact wewe unalata makasiriko.

Huwezi kukuta kitanda kipo pembeni nyumba ya tajiri.
Na huwezi kukuta kitanda kipo kati kati chumbani kwa lofa.

Mimi naongea kwa fact na sio mihemko
Uko sahihi kabisa
 
Iwe pembeni iwe katikati, zingatia nafasi ya kupita kufanya usafi kuzunguka kitanda chako!
 
Back
Top Bottom