Kuweka kitanda katikati ya chumba au ukutani ni kipi bora?

Anza kuweka kabati /dressing table..then fuatisha kitanda...hio nzuri...sana
Chumba kinaonekana fuleshiii
Chumbani ni kinatakiwa kitanda tu

Marufuku mtu kuingia na simu au laptop ni sehemu takatifu ya agenda moja tu ya kitanda

Kabati na dressing table chumbani sio mahali pake

Dressing weka huko bathroom huko acha kujaza mivitu chumba cha kulala

Watu wajinome kitandani

Chumba cha kulala ni kulala ndio maana kinaitwa cha kulala sio cha kujipodolea kajipodolee huko kwingine sio chumba cha kulala

Chumba cha kulala ni kulala na agenda ni moja tu hadi kieleweke

Huwa hamuendi kitchen party kufunzwa nyie

Ndio maana sasa hivi ndoa nyingi zinavunjika unageuza chumba cha kulala saluni ya kujipodoa na dressing table yako alaaa ukome
 
Chumbani ni kinatakiwa kitanda tu

Marufuku mtu kuingia na simu au laptop ni sehemu takatifu ya agenda moja tu ya kitanda

Kabati na dressing table chumbani sio mahali pake

Dressing weka huko bathroom huko acha kujaza mivitu chumba cha kulala

Watu wajinome kitandani

Chumba cha kulala ni kulala ndio maana kinaitwa cha kulala sio cha kujipodolea kajipodolee huko kwingine sio chumba cha kulala

Chumba cha kulala ni kulala na agenda ni moja tu hadi kieleweke

Huwa hamuendi kitchen party kufunzwa nyie

Ndio maana sasa hivi ndoa nyingi zinavunjika unageuza chumba cha kulala saluni ya kujipodoa na dressing table yako looks ukome
kwahiyo nguo unavalia chooni ndugu
 
kwahiyo nguo unavalia chooni ndugu
Bafu iwe na sehemu ya kuoga kujisadia na chumba kingine mbele ya bafu huko ndani ndiko ujaze hayo makorokoro sijui mataulo ,nguo nk

Chumba cha kulala kinatakiwa kuwa na hewa ya kutosha

Kifupi jenga chumba ,choo ns bafu halafu mbele ya bafu kuna mlango mwingine ndani huko huko ambako huko ndiko ni godown la la kabati la nguo zote ziwe za ndani au nje ,masanduku nk mazagazaga yote yawekwe hicho chumba huko huko ndani kwa ndani

Kinaanza chumba cha kulala kinafuata bafu na choo halafu kinafuata hicho chumba cha nguo makabati masanduku nk huko huko ndani

Chumba kisigeuzwe godown kiachwe kitanda tu kitambe

Chumba cha kulal kiwe free
 
Weka ukutani shemeji apate pa kushikia akiwa anakupelekea moto.

Kuna baadhi ya style zinataka support ya ukuta, sasa mkiwa katikati kama conference room hainogi. Ushawahi kuwekwa miguu ukutani wewe au kushikishwa ukuta, lazima uombe maji kama binti wa yombo.
 
Bafu iwe na sehemu ya kuoga kujisadia na chumba kingine mbele ya bafu huko ndani ndiko ujaze hayo makorokoro sijui mataulo ,nguo nk

Chumba cha kulala kinatakiwa kuwa na hewa ya kutosha

Kifupi jenga chumba ,choo ns bafu halafu mbele ya bafu kuna mlango mwingine ndani huko huko ambako huko ndiko ni godown la la kabati la nguo zote ziwe za ndani au nje ,masanduku nk mazagazaga yote yawekwe hicho chumba huko huko ndani kwa ndani

Kinaanza chumba cha kulala kinafuata bafu na choo halafu kinafuata hicho chumba cha nguo makabati masanduku nk huko huko ndani

Chumba kisigeuzwe godown kiachwe kitanda tu kitambe

Chumba cha kulal kiwe free

Upo sahihi.

Master bedroom ni vyumba vitatu; bedroom, dressing room na washroom, plus veranda.

Hapa naona wanajadili chumba cha kupanga.
 
Back
Top Bottom