Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dressing room lakini hii applicable kwa wenye nafasi zao. Kajumba kamejengwa kwenye plot ya 15x15, ukikoho alie uwani anakusikia.kwahiyo nguo unavalia chooni ndugu
Kama kitanda chako kiko ukutani ndugu bado una safari ndefu 😀Habari za leo naomba ushauri kuweka kitanda katikati ya chumba au ukutani ni kipi bora
Shida ni ule muda ule, unaweza kushangaa unakosa balance...teeeh!Katikati: na bedsides. Inakupa uhuru wa kutandika vizuri, kufanya usafi vizuri pande zote pia. na kuleta muonekano wenye balance.
Kama kitanda chako kiko ukutani ndugu bado una safari ndefu
Mta comment kwenye uzi minginee,Kinachowekwa katikati ni kitanda cha mochwari ujue
Sasa mjukuu hatujacomenti itakuwaje
Ukishakula mtindi ukashiba ndicho unachowaza hiki Legend!!!Shida ni ule muda ule, unaweza kushangaa unakosa balance...teeeh!
Sasa nifanyeje BK,Ukishakula mtindi ukashiba ndicho unachowaza hiki Legend!!!
😂
Nimesha achaKwani kitanda kikiwa ukutani ni umaskini acha ujinga
Duh!....Kinachowekwa katikati ni kitanda cha mochwari ujue ama kile cha upasuaji
Ukizingatia mlombano taimu. Ukutani ni muhimuHabari za leo naomba ushauri kuweka kitanda katikati ya chumba au ukutani ni kipi bora