Kuweka kumbukumbu sawa kuhusu kutokumjali mke wangu na kumsababishia kuchepuka

Hziyech22 , moja ya kosa kubwa ulilolifanya ni kuleta taarifa za uzinzi wako hapa

Inaezekana jamaa yuko sawa au ana take advantage baada ya wewe kuweka uzi wako ili ajipatie umaarufu au kukutisha tu

Kikubwa kuwa makini Siri hazitolewi hovyo, kisha kaa na huyo dada uzungumze nae ila atakuona fala tu coz huwezi vujisha taarifa zenu hovyo

Na Kama jamaa yuko sahihi, amua Cha kufanya ambacho kitakuweka salama
 
Nimeogopa kiwango Cha mwisho mpendwa, ila kwaninj ufikie huko?? Sema mapenzi bwana ni kitu Cha 50-50
Usiogope bwana hata kuchinja kuku tuu siwezi...nimeongea tuuu...ila bwana mapenzi yanaumiza sana so kuna watu wanaweza kuua kabisa
 
Usiogope bwana hata kuchinja kuku tuu siwezi...nimeongea tuuu...ila bwana mapenzi yanaumiza sana so kuna watu wanaweza kuua kabisa
Niliwahi kumuona jamaa analia Kama mtoto kisa dem, nilillvyomuambia move on, aliniambua siku nikikua nitaelewa
 
Ni Ni kama umechapiwa na boya mwingine huko ila uliposoma uzi wa huyu mwamba ikawa kama umemeza ile kloritii wa maasai..umeamua kumvaa jamaa jumla jumla
 

Duuuuuu
 
Mkuu huyo jamaa ukimkamata piga lakini usiue ili aje kutupa ushuhuda. Ukimuua hatutakuwa na cha kujifunza
 
Kaka jiandae kutembea na pampas kishanuka
 
Kapeace jazia nyama tafadhali!
Huyu anayelalamika kuchapiwa unamuwekaje fungu moja na mgoni wake?
Sipotezagi muda wangu kuandikia wapuuzi km hawa, sasa humu wanaleta maisha yao ili iweje!! Hasa huyo mgoni wake ni kutafuta attention na kutusimulia maisha yao nk,, ajabu wanaofanya hivi ni wanaume😅 inatia kinyaa yani mtu haoni aibu kutusimulia anamla mke wa mtu,, haya sasa anatafutwa afanywe kitu mbaya na mimi nasema AFANYWEEEEEEEEE
 
Lazima nimfilimbe huyu mbwa. Hawezi kunit*ombea mke wangu na kula pesa zangu halafu nimuache tu.
Nitakachomfanya, atahadithia hadi vitukuu.
Muulize yule muuza mihogo wa kawe yuko wapi,
Hasira hizo mfirimbe mkeo aache kutembeza kipochi manyoya hiko kama kikoba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…