Kuweka kumbukumbu sawa kuhusu kutokumjali mke wangu na kumsababishia kuchepuka

Kuweka kumbukumbu sawa kuhusu kutokumjali mke wangu na kumsababishia kuchepuka

Utaenda jela, mkeo unamuacha uraiani ataendelea kuliwa.
Ukitoka unaanza upya kwasababu ya mwanamke uliyekutana ukubwani.
Hapo ongea na mke wako, na ili asifanye ujinga. Mke wa mtu hana alama na utagombana sana na wanaume wenzako kwasababu ya mwanamke.
Mimi siwezi kufanya huu ujinga wa kumdhuru mwanaume mwenzangu kwasababu ya mwanamke.
Nakazia hapa
 
Mtuhumuwa ushajileta hutaki kuisumbua mahakama embu nambie tuseme mambo aloyasema hapa ni kweli na huyo dada ni mke wake, tuseme ni kweli

1.Je umejipangaje na hilo tukio atakalokupiga?
2, je akikufanya kitu kibaya huoni tutakupoteza humu jf?
3. Je umechukua tahadhali asije kutafutia wahuni wakakuumiza?
4. Je unarufi usiku? Hiyo tabia umeacha.

Haya tuseme ni muongo?
1.Je una mpango gani na huyo mke? Utamuoa?

Mwenyewe umetueleza kuwa mchepuko wako mme wake alikuwa na.pesa mbaya vip wewe unazo maana usije lia machozi ya paka?
Embu nambie pole pole watu wasikusikie vip mchepuko wako alikuambia mme wake hakuwa akijiweza kitandani na ana kinjiti?
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni
Ni kama umechapiwa na boya mwingine huko ila uliposoma uzi wa huyu mwamba ikawa kama umemeza ile kloritii wa maasai..umeamua kumvaa jamaa jumla jumla
Mkuu upo sahihi kwa asimilia 💯
 
Milioni 20.
Kusukana nywele na mashoga zake chumbani kwenu.

Dah hivi vitu viwili haviendani kabisa.
Ya kwanza inawezekana. Mimi nimekutana na jamaa mke kafuja pesa zaidi ya hiyo kwa kufungua biashara aliyoishia kuizika ndani ya mwaka mmoja.
 
Ya kwanza inawezekana. Mimi nimekutana na jamaa mke kafuja pesa zaidi ya hiyo kwa kufungua biashara aliyoishia kuizika ndani ya mwaka mmoja.
Hiyo inawezekana.
Lakini mwanamke anayeingiza mashoga zake chumbani kwake na mume wake kusukana inaonyesha wana room moja hao, tena uswazi....
Hawaendani na hiyo milioni 20 aliyozungumzia.
 
Kabla sijaanza, tafadhali nawaomba sana moderators msiuhamishie huu uzi kwenye ule uzi wa member anaechepuka na mke wangu, nawaomba sana kwani nataka kuweka kumbukumbu sawa kwa watu wote humu.

Kuna member humu ndani ameanzisha uzi juu ya kuchepuka na mke wa mtu, na pia akatoa ushauri kwa wanaume waliooa. Uzi wake huu hapa Nimejikuta nina mahusiano na mke wa mtu ila kuna kitu nimejifunza na wengine itawafunza
Kwanza, namtaarifu jamaa kuwa huyo mwanamke ni nyoka sana na ni mbwa mwitu aliejivika ngozi ya kondoo. Hata mimi kabla ya kumuoa, alijivika upole na unyenyekevu wa ajabu hadi nikaingia kingi na kumuoa, akaivua rasmi ngozi ya ukondoo kwangu.
Amemdanganya vitu vingi ili kupata sympathy, ikiwepo ya kuwa nilimuoa akiwa bikra kitu ambacho si cha kweli.

Pia, huyo mwanamke ana tabia mbaya ni kama hajafundwa, mara nyingi tu narudi kutoka kwenye mihangaiko yangu namkuta nyumbani yuko na shoga zake chumbani kwetu wanasukana. Nimeshaongea sana kuhusu hiyo tabia, lakini kwa kiburi chake hataki kubadilika na anaona ni kawaida.

Hilo ni dogo, nimewahi kumfungulia biashara mara tatu na kumpa mtaji wa pesa za kutosha kwa ajili ya hizo biashara (jumla ya zaidi ya milioni 20) , lakini mara zote tatu hizo biashara zimekufa kifo cha mende miguu juu. Na bado ananilaumu tu, hana misingi ya biashara na hataki kujifunza.

Kitu kingine, amekwambia pia kuwa niliwahi kupigiwa simu na mwanaume usiku nikiwa nae, na mimi nikaipokea, na huyo mwanaume akadai kuwa ni mchumba wake kwa miaka mitatu na yeye hajui kuwa ameolewa? Muulize vizuri, au amekuhadithia makosa yangu tu ila chanzo chake hajakwambia?

Amekwambia pia jinsi ambavyo ninampatia pesa za matumizi kila mwezi, hizo ambazo wewe unamsaidia kuzitumbua, au hajakwambia zinatoka wapi?

Kila mwezi nampatia laki nane za matumizi, na hiyo ni nje ya mahitaji ya nyumbani ambayo nayatimiza kwa kuhakikisha vitu vyote vipo ndani. Na analalamika kuwa hazitoshi, nahisi baada ya wewe kuwa unamsaidia ndo kabisa, kutwa ananilalamikia nimuongezee ila ukiuliza nilizokupa zimetumikaje, ni ugomvi.

Pia, muulize vizuri chanzo cha ugomvi wake na mama yangu, sitazungumza hapa, ila muulize atakwambia. Nimeona niweke kumbukumbu tu sawa, ili likija kukupata la kukupata watu wasishangae.

Bwana mdogo, kwa sababu nimeshakutambua, subiri tu upate malipo yako, na kitakachokukuta uje kuhadithia pia humu.

Asante.

Unaweza pia kusoma>> Nimegundua kuna member humu anatembea na mke wangu, nitakachomfanya tusilaumiane
Sijui kwanini ninahisi kuwa mtoa mada hii na anayemjibu ni mtu mmoja..!!!
 
Hiyo inawezekana.
Lakini mwanamke anayeingiza mashoga zake chumbani kwake na mume wake kusukana inaonyesha wana room moja hao, tena uswazi....
Hawaendani na hiyo milioni 20 aliyozungumzia.
hii imefanya niamini stori ni chai, na IDs za huyu OP na ya ile uzi kule ni za mtu mmoja
 
Hiyo inawezekana.
Lakini mwanamke anayeingiza mashoga zake chumbani kwake na mume wake kusukana inaonyesha wana room moja hao, tena uswazi....
Hawaendani na hiyo milioni 20 aliyozungumzia.
Ni kweli hakuna mahusiano. Mwanamke wa kusukana na mashoga zake chumbani hakuna. Lakini hata kama yupo hakuna marafiki wanaoweza kukubali kusukia chumbani labda kama ni single room kama ulivyosema. Good observation hapo katupiga [emoji106]
 
Hiyo inawezekana.
Lakini mwanamke anayeingiza mashoga zake chumbani kwake na mume wake kusukana inaonyesha wana room moja hao, tena uswazi....
Hawaendani na hiyo milioni 20 aliyozungumzia.
Masikini mna shida sana. Why did you assume ni room moja? Hiyo ni nyumba kubwa kabisa ya vyumba kadhaa ni fully fledged house. Stop assuming. Ndo ujue kuna wanawake wamejaa uswazi na hawajastaarabika.
Huyu bazazi lazima nimfilimbe kumfundisha. Subirini mrejesho.
 
Mi nahisi kama unajikamia mwenyewe..!!!
 
Masikini mna shida sana. Why did you assume ni room moja? Hiyo ni nyumba kubwa kabisa ya vyumba kadhaa ni fully fledged house. Stop assuming. Ndo ujue kuna wanawake wamejaa uswazi na hawajastaarabika.
Huyu bazazi lazima nimfilimbe kumfundisha. Subirini mrejesho.
Moja ya watu waoga kuiingua chumbani kwa mwanamke mwenzao mwenye mume ni wanawake. Ndio maana mwanamke akiambiwa na mchepuko mke wangu hayupo njoo nyumbani haji lakini mwanaume anaenda akijitunisha kifua kama baba mwenye nyumba.

Hakuna wanawake wa aina hiyo labda wawe walevi muda wote wako full gauge
 
Story kama zile za wale wanaojiita walimu wa mahusiano insta.

Mchepuko anaandika text, mke anajibu, au mume anandika hili, mke lile, mchepuko lile.

Jamani huku sio FB, hizi chai zilizozidi majani ni chungu sana.
FB pakoj mkuu
 
Masikini mna shida sana. Why did you assume ni room moja? Hiyo ni nyumba kubwa kabisa ya vyumba kadhaa ni fully fledged house. Stop assuming. Ndo ujue kuna wanawake wamejaa uswazi na hawajastaarabika.
Huyu bazazi lazima nimfilimbe kumfundisha. Subirini mrejesho.
Basi hamjastaarabika mna mambo ya kiswazi. Hakuna mke anaye jitambua anakaribisha mtu hata ndugu sembuse mashoga kwenye chumba chake na mume wake. Hayupo nakwambia.
Kiufupi ni kwamba una mke wa hovyo kuwahi kutokea.
 
Back
Top Bottom