Kuweka kumbukumbu sawa kuhusu kutokumjali mke wangu na kumsababishia kuchepuka

Nakazia hapa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni
Ni kama umechapiwa na boya mwingine huko ila uliposoma uzi wa huyu mwamba ikawa kama umemeza ile kloritii wa maasai..umeamua kumvaa jamaa jumla jumla
Mkuu upo sahihi kwa asimilia 💯
 
Milioni 20.
Kusukana nywele na mashoga zake chumbani kwenu.

Dah hivi vitu viwili haviendani kabisa.
Ya kwanza inawezekana. Mimi nimekutana na jamaa mke kafuja pesa zaidi ya hiyo kwa kufungua biashara aliyoishia kuizika ndani ya mwaka mmoja.
 
Ya kwanza inawezekana. Mimi nimekutana na jamaa mke kafuja pesa zaidi ya hiyo kwa kufungua biashara aliyoishia kuizika ndani ya mwaka mmoja.
Hiyo inawezekana.
Lakini mwanamke anayeingiza mashoga zake chumbani kwake na mume wake kusukana inaonyesha wana room moja hao, tena uswazi....
Hawaendani na hiyo milioni 20 aliyozungumzia.
 
Sijui kwanini ninahisi kuwa mtoa mada hii na anayemjibu ni mtu mmoja..!!!
 
Hiyo inawezekana.
Lakini mwanamke anayeingiza mashoga zake chumbani kwake na mume wake kusukana inaonyesha wana room moja hao, tena uswazi....
Hawaendani na hiyo milioni 20 aliyozungumzia.
hii imefanya niamini stori ni chai, na IDs za huyu OP na ya ile uzi kule ni za mtu mmoja
 
Hiyo inawezekana.
Lakini mwanamke anayeingiza mashoga zake chumbani kwake na mume wake kusukana inaonyesha wana room moja hao, tena uswazi....
Hawaendani na hiyo milioni 20 aliyozungumzia.
Ni kweli hakuna mahusiano. Mwanamke wa kusukana na mashoga zake chumbani hakuna. Lakini hata kama yupo hakuna marafiki wanaoweza kukubali kusukia chumbani labda kama ni single room kama ulivyosema. Good observation hapo katupiga [emoji106]
 
Hiyo inawezekana.
Lakini mwanamke anayeingiza mashoga zake chumbani kwake na mume wake kusukana inaonyesha wana room moja hao, tena uswazi....
Hawaendani na hiyo milioni 20 aliyozungumzia.
Masikini mna shida sana. Why did you assume ni room moja? Hiyo ni nyumba kubwa kabisa ya vyumba kadhaa ni fully fledged house. Stop assuming. Ndo ujue kuna wanawake wamejaa uswazi na hawajastaarabika.
Huyu bazazi lazima nimfilimbe kumfundisha. Subirini mrejesho.
 
Mi nahisi kama unajikamia mwenyewe..!!!
 
Moja ya watu waoga kuiingua chumbani kwa mwanamke mwenzao mwenye mume ni wanawake. Ndio maana mwanamke akiambiwa na mchepuko mke wangu hayupo njoo nyumbani haji lakini mwanaume anaenda akijitunisha kifua kama baba mwenye nyumba.

Hakuna wanawake wa aina hiyo labda wawe walevi muda wote wako full gauge
 
Story kama zile za wale wanaojiita walimu wa mahusiano insta.

Mchepuko anaandika text, mke anajibu, au mume anandika hili, mke lile, mchepuko lile.

Jamani huku sio FB, hizi chai zilizozidi majani ni chungu sana.
FB pakoj mkuu
 
Basi hamjastaarabika mna mambo ya kiswazi. Hakuna mke anaye jitambua anakaribisha mtu hata ndugu sembuse mashoga kwenye chumba chake na mume wake. Hayupo nakwambia.
Kiufupi ni kwamba una mke wa hovyo kuwahi kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…