Amenn
JF-Expert Member
- Dec 21, 2015
- 321
- 422
Ukickia yalaah hehemara nyingi huweka kutoa taarifa,kulipiza kisasi mpenzi kwa alimwacha au kugombana nae,kuringishia na vitu kama hizo.vipi wamekuwekea jiwe la gizani likakupata.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukickia yalaah hehemara nyingi huweka kutoa taarifa,kulipiza kisasi mpenzi kwa alimwacha au kugombana nae,kuringishia na vitu kama hizo.vipi wamekuwekea jiwe la gizani likakupata.?
Kuna vitu vingine sio lazima viwe muhimu ila vinafanyika tu kwa hisia na kwa kujickia.
Unaogopa watalaka wako wataiona? Bango hilo ataukimuacha washajua mwenyewe naniHapana mkuu, mimi sina historia kuachwa bali nimewaacha wengi, kuna mpenzi wangu anapenda sana kuweka picha yangu kwenye Profile yake,.. Sijapata kujua umuhimu wa yeye kufanya hivyo huku akinilazimisha na mimi niweke ya kwake kwenye Profile yangu,. Bado sijamkubalia pamoja na yeye tayari ameshaweka ya kwangu kwake,.
kama bado unawapanga kazi kwako.
Tena ngoja nikamuweke wangu prfl
Kibaya zaidi unamuweka Kwa profile halafu ndani ya muda mfupi anakubwaga chini!!!!Habari wana MMU.
Naheshimu sana mawazo yenu bila kujali yana maudhui ya aina gani kwani kila mtu amejaliwa karama yake na uwezo binafsi wa kutafakari mambo na kuyatolea maamuzi.
Back to the Topic,..
Kuna hili jambo, unakuta mtu kaweka picha ya mtu wa Jinsia tofauti na yeye, yaani kama ni mwanamke anaweka picha ya mwanaume, na kama ni mwanaume anaweka picha ya mwanamke huku akiambatanisha na maneno fulani fulani ya kimapenzi, kama ''I luv u hubby, sweetie'' e.t.c
Hawa watu wanaofanya hivi huwa wana malengo gani hasa? Au wanatangazia wengine kwamba tayari wanao wapenzi wao?
Kuna sababu gani za msingi za mtu kuweka picha ya mpenzi wake kama Profile picture yake kwenye WhatsApp, inasaidia nini?
Nawasilisha,..
Hahaha na wewe hiyo avatar umeweka ili kuashiria nini?Habari wana MMU.
Naheshimu sana mawazo yenu bila kujali yana maudhui ya aina gani kwani kila mtu amejaliwa karama yake na uwezo binafsi wa kutafakari mambo na kuyatolea maamuzi.
Back to the Topic,..
Kuna hili jambo, unakuta mtu kaweka picha ya mtu wa Jinsia tofauti na yeye, yaani kama ni mwanamke anaweka picha ya mwanaume, na kama ni mwanaume anaweka picha ya mwanamke huku akiambatanisha na maneno fulani fulani ya kimapenzi, kama ''I luv u hubby, sweetie'' e.t.c
Hawa watu wanaofanya hivi huwa wana malengo gani hasa? Au wanatangazia wengine kwamba tayari wanao wapenzi wao?
Kuna sababu gani za msingi za mtu kuweka picha ya mpenzi wake kama Profile picture yake kwenye WhatsApp, inasaidia nini?
Nawasilisha,..
Hahaha....Kuna dada kaweka ya mumewe, alafu status kaandika...mume wangu rudi nyumbani mapema
duh, zao zimejikariri sanaMkuu uliachwa ukawekewa picha nini ikakuuma. Leo hii kweli unauliza swali la kiipuuzi namna hiyo. Kwann usiulize wanaoweka za mama zao au baba zao na dada zao na kaka zao