Bukwabi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 3,352
- 1,148
Inaonesha unaogopa michepuko mingine itajua. Unataka vyoteHapana mkuu, mimi sina historia kuachwa bali nimewaacha wengi, kuna mpenzi wangu anapenda sana kuweka picha yangu kwenye Profile yake,.. Sijapata kujua umuhimu wa yeye kufanya hivyo huku akinilazimisha na mimi niweke ya kwake kwenye Profile yangu,. Bado sijamkubalia pamoja na yeye tayari ameshaweka ya kwangu kwake,.