Kuweka Picha ya Mpenzi wako kwenye Profile ya WhatsApp!!

Ni utoto. Pia kuwa makini manake anaweza kuwa anakuchoresha tu. Kakuweka dp halafu anaomba dickpics kutoka kwa jamaa. Haina maana.
 
Binafsi namuwekaga ikiwa namuwish either b'day or anything else. Apart from that naweza nkakaa miaka nisimuweke au nkakaa miezi bila kubadilisha Dp.

Mapenzi yangu kwake na picha havina uhusiano.
 
Unaogopa watalaka wako wataiona? Bango hilo ataukimuacha washajua mwenyewe nani
 
kama bado unawapanga kazi kwako.

Issue sio kuwapanga hapa, Unaweza kuwa na mmoja for a certain reason mahusiano yakavunjika. Ukapata mwingine likatokea la kutokea, na picha ulishazipamba kwenye profile.

Tumeshuhudia style kama za kina Wema, Lulu na wengineo tunaowajua kwenye jamii. (It's a different case kwa wenye ndoa, shida ni kwa wanaotaka kuingia kwenye ndoa )
 
Kwanza Ungesema wewe ukiona hivo huwa unajickiaje??Acha kuwa na akili kama za popo ucku unaona mchana huoni.
 
Hii ni kuonyesha kumjali,upendo kwa muhusika ni sawa na kumuweka mama,dada,baba au hata swahiba wako wa karibu anaweza hata kuwa jinsia yako mfano rafiki yako wa karibu hii inaonyesha thamani kwa muhusika.
 
Wekwa dp unapoonekana,moyoni nani anakuona??!:-
 
Kibaya zaidi unamuweka Kwa profile halafu ndani ya muda mfupi anakubwaga chini!!!!
 
Hata uweke ya siku ya ndoa hatujalii maana ni wkt ulee wkt huu asingetakiwa. Hatushtukii zaidi tunaongeza kisses na kumsifia kwa kututambulisha mme/mke mwenzetu.
 
Hahaha na wewe hiyo avatar umeweka ili kuashiria nini?
 
Nilikuta picha ya wife kwenye profile ya fb nikabaki nimeganda macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…