Inaonesha unaogopa michepuko mingine itajua. Unataka vyoteHapana mkuu, mimi sina historia kuachwa bali nimewaacha wengi, kuna mpenzi wangu anapenda sana kuweka picha yangu kwenye Profile yake,.. Sijapata kujua umuhimu wa yeye kufanya hivyo huku akinilazimisha na mimi niweke ya kwake kwenye Profile yangu,. Bado sijamkubalia pamoja na yeye tayari ameshaweka ya kwangu kwake,.
mbona umeshamjibu? au ulisahau?Nimeshakupuuza kwa hiyo sina sababu ya kujibizana na wewe,..
kwanini hutaki kumkubalia?Hapana mkuu, mimi sina historia kuachwa bali nimewaacha wengi, kuna mpenzi wangu anapenda sana kuweka picha yangu kwenye Profile yake,.. Sijapata kujua umuhimu wa yeye kufanya hivyo huku akinilazimisha na mimi niweke ya kwake kwenye Profile yangu,. Bado sijamkubalia pamoja na yeye tayari ameshaweka ya kwangu kwake,.
hahahaha! umetaman nini kwangu?Nataka niweke ya kwako, nimekutamani bure mdada[emoji39] [emoji39]
utanigombanisha na mama Dorcas sitakiNataka niweke ya kwako, nimekutamani bure mdada[emoji39] [emoji39]
kama vipi njoo kwangu...but uwe tayari kuweka picha yangu kwa profile yako.Nimempa likizo ya muda, nataka nibadili mandhari....
pm kufanya nini? sikuhizi mambo harani bhana we funguka tu..kazi unaiweza lkn?Vingi bhana, njoo PM tafadhali......
Nimempa likizo ya muda, nataka nibadili mandhari....
osterbay..karibu sanaUpo wapi mrembo nianze kufunga safari ya kuja kwako, kuhusiana na profile picture ondoa shaka bibie...[emoji4]
kumbe hata kazi yenyewe huijui? [emoji12] [emoji12]Kuna kazi ya kunishinda mimi?? Hebu iseme tu hapahapa hadharani....
Hakuna kazi ambayo imewahi kunishinda mkuu, ndiyo maana nikataka uwe specific [emoji1]kumbe hata kazi yenyewe huijui? [emoji12] [emoji12]
umeshindwa kazi chakii, hujiamini kumbe!Hakuna kazi ambayo imewahi kunishinda mkuu, ndiyo maana nikataka uwe specific [emoji1]
Sasa fanya kunisaidia hizo contacts PM nikucheki maana sisi ni majirani sipo mbali, hapa mafisi wengi usiziweke