Kuweka Picha ya Mpenzi wako kwenye Profile ya WhatsApp!!

Hili suala mimi naliangalia kwa mtazamo tofauti nilichokifikiria ni nn kusudi la WhatsApp na mitandao mingine kutuwekea dp, mimi nimechukua maana halisi ya profile kama sehemu ya kuweka personal details za mhusika wa account, Kwahyo mimi natarajia dp iwe utambulisho wangu kwa mgeni wa acc yangu kama ni watsap ikiingia namba mpya nikienda watsap nikaona picha naweza kumfaham mhusika mara moja, kama ni Facebook pia nikiingia profile nimjue mhusika wa hyo account, nadhani hili lilikuwa kusidio la waanzilishi wa hizo networks, leo hii ni nadra kukuta picha ya mwenye acc mara mtu kaweka kiatu etc huwa nakerwa sana na hayo matumizi ya dp na bora wanaoweka wake/waume, wanaoweka boyfriend/girlfriend anamnadi dp siku chache wameachana anaweka dp za kulaumu au kuponda au za kumlilia Mungu, akipata mpenzi mwingine anaanza tena, na zaidi ni hawa wanaoweka dp watoto wachanga yani mtoto kazaliwa leo kesho yuko dp hajafungua hata macho, na ujinga wote huu unafanywa na wanaojiita wasomi.
 
Huwa siwaelewi kabisa how unamuweka kwny dp yako weka pucha za maua miti simba tembo tv viti
 
umeshindwa kazi chakii, hujiamini kumbe!
Bibie haya sasa ni matusi ya hadharani na mwanaume rijali kama mimi kamwe sitoweza kuvumilia, naomba ukanushe hizi kauli maana umenitia wazimu...
 
Bibie haya sasa ni matusi ya hadharani na mwanaume rijali kama mimi kamwe sitoweza kuvumilia, naomba ukanushe hizi kauli maana umenitia wazimu...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] siwezi kukanusha chakii, kubari tu kuwa wewe ni domo zege
 
Mimi Siweki picha yangu ama ya mke wangu ama ya mwanangu kwenye Profile picture. Ya mwanangu ndio siwezi kuweka kabisa kwakuwa kwa kufanya hivyo naingilia uhuru wake siku ya siku utakuja shangaa amewekwa kwenye picha ya pakiti ya kondomu na wala usimjue kuwa ni mwanao. Kimsingi hatupaswi kuwaweka watu kwenye profile picture bila ridhaa zao
 
UNATAKA UWEKWE WEWE?????????????????????????????????????????????
 
huwa wanafanya matangazo, wakiibiwa wanaanza kukalamika
 
Point noted mkuu
 
me kwakwel sijawah kuweka ya kwangu wala huyo jinsia tofauti.
ila wanaofanya hivyo nikama kuonesha mapenz kwa yule alie muweka pia wengine huweka kwa malengo hasa sisi wadada. kuwaonesha wa2 kama nae ana handsome.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Utoto huo
 
Mimi nimeweka ya bibi enu,kama hamtaki mjinyonge.

mshamba_hachekwi bibi yako anapendezesha sana whatsapp yangu au ni ushamba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…