Kuweka Picha ya Mpenzi wako kwenye Profile ya WhatsApp!!

Nakubaliana na wewe wengi hutafuta Attention tu na ukikuta mtu mwenyewe ni mzuri mzuri kidogo basi mtakoma huko instagram na wasap

Nawe si unaweka ya wa kwako ili wakomee umenichekeshaaa etii mzuri mzuriii
 
Reactions: BAK
Mie sioni tatizo lolote lile, mwanaume/mwanamke badala ya kuweka picha yake anaamua kuweka picha ya mpenzi wake kwangu mimi sioni ubaya wa hili.
 

Duu we huna wa kumuweka au unamichepuka???
 
Mapenzi ya maigizo hayo.....kuweka picha yako wala sio assurance kuwa upo peke yako coz huo mchepuko wake yaweza akawa na cm ambayo haina uwezo wa kuwa na whatsapp
 
mume sawa...boyfriend am sory ila mi napenda kuwaweka wanangu!
 
Hakuna shida yoyote relax ,ni vile tu mtu apendavyo wengine huweka watoto,wazazi,marafiki,masupeer star,wanyama,ndege,maua n.k
 
basi mie sijawahi weka watoto, naona kama acha wakue waamue wenyewe kama wanataka kuwekwa in public.

Sie vizee poa tu.

mume sawa...boyfriend am sory ila mi napenda kuwaweka wanangu!
 
Unaweka afu mkishabwagana status za vijembe juu..
 
Kati ya vitu ambavyo sijali ni hili jambo. Usichukulie life serious kiasi hicho mkuu
 
Mi hata kama ni mbayaa naweka tu si ni wa kwanguuu sijali uhandsome wala ubayaaa mi najali navyompendaa basiiii hata kwa wengine awe anatishaaa mi kwangu mzuri tu ndio naridhikaaaa

mkuu inaonekana jaman ako ni poligon knoma hahah,just a joke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…